sasa kusingekua na pande hizo mbili tofauti kimaoni, mitazamo na uelekeo, kungekua na siasa?🐒siku hizi uchawa umezidi kuliko kushiriki katika siasa. hata wewe ni chawa tu huna lolote kwenye siasa.
Kushiriki kwenye siasa ni kudai haki pale panapostahili na kupongeza pale panapostahili leo hii hakuna mwan ccm atadai haki na wala hakuna mpinzani atapongeza.
Mnyika keshabwaga manyanga. Hilo kundi life tu, lilishangilia kifo cha Dkt MagufuliHofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.
Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.
cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...
sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?
Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
Utanyookaiwaingie vizuri kamati kuu sio?🤣
Rubbishtaasisi inaweweseka na msigwa dah
BWABWA upoRelax gentleman,
namskiza Mwenyekiti chadema Taifa anavyoweweseka muda huu live 🐒
SEMA zero brain 🧠Relax gentleman,
namskiza Mwenyekiti chadema Taifa anavyoweweseka muda huu live 🐒
Makamu wa Rais yupo eneo liitwalo MOWAYUNGU, Dodoma.Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.
Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.
cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...
sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?
Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
Kwani wewe ni Dr wake?ni ukweli tu hadi 2025🤣
namskiza story teller wa wiki Freeman Aikael Mbowe akiweweseka live muda huu, but body language yake ni kama vile hayuko okey 🐒
Bila kuitaja cdm post zako hazipati wachangiaji wengi. Inshort cdm ndio habari ya mjini.Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.
Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.
cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...
sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?
Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
maana conclusions za kwenye mijadala ya vijana wengi wa hicho unachoita chuo ni mihemko na kuporomosha matusi tu, au nasema urongo ndrugo zango?[emoji205]
ndiyo!
eleze ukweli basi kama si hivyo?...
ndio maana nasema hapana utulivu chadema, hofu ni kubwa, no trust to each other,
hata kumjibu msigwa ambae yupo nje ya Chadema ni kwa umakini na tahadhari ya kiwango cha juu sana....
who is next to join msigwa CCM? John Myika or Heche?[emoji1787]
ukishaposti chochote humu jukwaani hulazimishwi kuchangia..Bila kuitaja cdm post zako hazipati wachangiaji wengi. Inshort cdm ndio habari ya mjini.
Mimi sio jobless boss. Nikiwa free ndio nachangia, ww mumeo anakuletea kila kitu mezani lazima ushinde hapa jf.ukishaposti chochote humu jukwaani hulazimishwi kuchangia..
kwamfano wewe,
kwanza inaonyesha ni mvivu, huna new ideas wala huna fikra mbadala,
halafu si upumzike tu ama ufanye mambo mengine gentleman, kuliko kubabaika ati kipi kimechangiwa sana ama la, who are you by the way hadi unapata muda wa kuasess yote hayo?
huna kazi ee🤣