Pre GE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa nukuu" Kunja ngumi, Kunja ngumi, Kunja ngumi.... Zungusha, zungusha, Zungushaaaa, haya Peopleees- Poweeeeerrrrr" Hii ni baada ya maandamano ya kilomita zaidi ya 10. Du, nabaki kusikitika tu!
 
Kilaza ktk ubora wako, huoni aibu ww
 
Tumemfuatikila huyu mwamba tangu atue CCM hana hoja mpya yoyote ya kuwaondolea watanzania umaskini badala yake ni majungu yasiyo ma kichwa wala mkia.
 
Tumemfuatikila huyu mwamba tangu atue CCM hana hoja mpya yoyote ya kuwaondolea watanzania umaskini badala yake ni majungu yasiyo ma kichwa wala mkia.
lakini kamati kuu chadema kuna hofu na umakini mkubwa sana katika kumjibu, kulikoni?πŸ’
 
Msigwa nukuu" Kunja ngumi, Kunja ngumi, Kunja ngumi.... Zungusha, zungusha, Zungushaaaa, haya Peopleees- Poweeeeerrrrr" Hii ni baada ya maandamano ya kilomita zaidi ya 10. Du, nabaki kusikitika tu!
eti ana dai kwamba mwenyekiti taifa hana content?🀣
 
Mimi sio jobless boss. Nikiwa free ndio nachangia, ww mumeo anakuletea kila kitu mezani lazima ushinde hapa jf.
kama unachangia bas make sure you come up with new ideas and alternative plans,

sio unakuja hapa kumbwelambwela na kumanga manga na makasiriko na huku huna hoja...

sawa? πŸ’
 
Kila mtu katika sehemu fulani huwa anaumuhimu wake lakini haimaanishi kwamba watu hawawezi kuishi bila huyo mtu...
 
Endelea kuota ,ulishaambiwa Chadema waliondoka viongozi wa nafasi za juu na mpaka sasa inadunda na inazidi kuogopwa! So hakuna kiongozi atakeyeondoka na kuiyumbisha chadema.
 
Kila mtu katika sehemu fulani huwa anaumuhimu wake lakini haimaanishi kwamba watu hawawezi kuishi bila huyo mtu...
una point,

nimefurahishwa na umakini na nidhamu ya waandamizi wa Chadema wanapo mzungumzia msigwa kiungwana sana ...

mashaka yangu ni hofu inavyoonekana miongoni mwao waandamizi na kutoaminiana kwao kunakoongezeka kila uchao, kulikoni?πŸ’
 
Endelea kuota ,ulishaambiwa Chadema waliondoka viongozi wa nafasi za juu na mpaka sasa inadunda na inazidi kuogopwa! So hakuna kiongozi atakeyeondoka na kuiyumbisha chadema.
hofu ya nini sasa,
na kutoaminiana kwao ni kwasababu gani sasa?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…