Pre GE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hajui kuwa CHADEMA waliondoka Zito kabwe, Slaa, Mashinji, Sumaye, Lowasa, Nyalandu, Laurence Masha, na wengine wengi ambao walikua Very senior, yeye anaamka asubuhi hata chai hajui kama atakunywa anakuja na thread za Msigwa ambaye hakua hata na cheo.....
Msigwa nukuu" Kunja ngumi, Kunja ngumi, Kunja ngumi.... Zungusha, zungusha, Zungushaaaa, haya Peopleees- Poweeeeerrrrr" Hii ni baada ya maandamano ya kilomita zaidi ya 10. Du, nabaki kusikitika tu!
 
Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.

Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.

cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...

sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?

Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
Kilaza ktk ubora wako, huoni aibu ww
 
Tumemfuatikila huyu mwamba tangu atue CCM hana hoja mpya yoyote ya kuwaondolea watanzania umaskini badala yake ni majungu yasiyo ma kichwa wala mkia.
 
lakini kamati kuu chadema kuna hofu na umakini mkubwa sana katika kumjibu, kulikoni?🐒
 
Msigwa nukuu" Kunja ngumi, Kunja ngumi, Kunja ngumi.... Zungusha, zungusha, Zungushaaaa, haya Peopleees- Poweeeeerrrrr" Hii ni baada ya maandamano ya kilomita zaidi ya 10. Du, nabaki kusikitika tu!
eti ana dai kwamba mwenyekiti taifa hana content?🤣
 
Mimi sio jobless boss. Nikiwa free ndio nachangia, ww mumeo anakuletea kila kitu mezani lazima ushinde hapa jf.
kama unachangia bas make sure you come up with new ideas and alternative plans,

sio unakuja hapa kumbwelambwela na kumanga manga na makasiriko na huku huna hoja...

sawa? 🐒
 
Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.

Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.

cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...

sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?

Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
Kila mtu katika sehemu fulani huwa anaumuhimu wake lakini haimaanishi kwamba watu hawawezi kuishi bila huyo mtu...
 
Endelea kuota ,ulishaambiwa Chadema waliondoka viongozi wa nafasi za juu na mpaka sasa inadunda na inazidi kuogopwa! So hakuna kiongozi atakeyeondoka na kuiyumbisha chadema.
 
una point,

nimefurahishwa na umakini na nidhamu ya waandamizi wa Chadema wanapo mzungumzia msigwa kiungwana sana ...

mashaka yangu ni hofu inavyoonekana miongoni mwao waandamizi na kutoaminiana kwao kunakoongezeka kila uchao, kulikoni?🐒
 
Endelea kuota ,ulishaambiwa Chadema waliondoka viongozi wa nafasi za juu na mpaka sasa inadunda na inazidi kuogopwa! So hakuna kiongozi atakeyeondoka na kuiyumbisha chadema.
hofu ya nini sasa,
na kutoaminiana kwao ni kwasababu gani sasa?🐒
 
Back
Top Bottom