ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Klabu ya Yanga imewapa taarifa Kwa barua rasmi wachezaji wake wawili Clement Mzize pamoja Aziz ki kuwa watakuwa sokoni mwishoni mwa msimu huu
Mzize mwenye miaka 21 ametakiwa na club ya Wydad ambayo ilituma offer ya billion 2.5 ambapo Yanga ilipuuza offer hiyo
Leo mchana timu ya Al Ahly Tripoli ya Libya imeta offer ya billion 4 na baadaye timu ya Saidia imetuma offer ya billion 5
Mzize pia anahitajika na timu ya Burnley na Olympic Marseille ya France
Kwa mauzo hayo Clement Mzize atakuwa amevunja record ya kuwa mchezaji ghali ukanda huu wa CECAFA
Kweli Eng Hersi ni brain 🧠 ya mpira
Mzize kutoka Academy ya Yanga Leo anauzwa billion 5