Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

Sahihi kabisa
 
Chama alipofeli tu Berkane ndo nikaona huyu ni mchezaji wa Tanzania tu sio kimataifa ,pili umri nao kikwazo kwake.
 
Hilo swali kawaulize Berkane sio mimi ila nimeandika katafute namba zake
Namba zake ni kuwa kacheza michezo kumi ana assist 2 pekee, na goli 0. Au una namba tofauti na hizi?
 
Siku Simba anakandwa 5_1 walisema Chama kapokea mlungula
 
Chama alipofeli tu Berkane ndo nikaona huyu ni mchezaji wa Tanzania tu sio kimataifa ,pili umri nao kikwazo kwake.
Hilo watu hawataki kukubali. Ila huo ndio ukweli, mchezaji ukiwa mzuri ulimwengu unakutamani kutaka kufanya kazi na wewe. Sasa ni mchezaji miaka yote yupo Tanzania na wala husikii kuna sehemu wamemuhitaji zaidi ya hapa hapa Tanzania tu utasikia akihusishwa na Yanga pekee.
 
Ni mpumbavu tu ndio anaweza kumlinganisha Chama na Pacome. Performance ya Pacome ni the same kila mchezo tofauti na Chama ambae anavizia mechi moja moja za vibonde

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Mchezaji bora wa ligi ya ivory coast mwaka jana
Na ndio kasajiriwa na Yanga.
Waarabu au Wazungu wamemwacha kwa sababu gani?
Mchezaji Bora asiyecheza Afcon wakati wachezaji wa ndani walicheza.
Basi amini alikuwa mchezaji Bora wa Mchongo.
 
Na ndio kasajiriwa na Yanga.
Waarabu au Wazungu wamemwacha kwa sababu gani?
Mchezaji Bora asiyecheza Afcon wakati wachezaji wa ndani walicheza.
Basi amini alikuwa mchezaji Bora wa Mchongo.
Kama ni wamchongo uje na takwimu za wanaongoza kwa magoli na assist kwenye klabu bingwa msimu huu uone kama Pacome hatokuwepo.
 
Makolo wanamtukuza sana Chama ila ni mchezaji wa kawaida sana. Bado hata ukiweka mambo aliyofanya Okwi . Chama haingii hata punje.
 
Kwa hiyo ukiongea kishabiki Nitaenda na Chama lakini Pacome ni balaa lingine
 
ishu ni kwamba pacome kaja juzi,hata chama kabla hajaja hapa alikuwa andazi tu huko alipo,au wewe ulishawahi kumuona akicheza klabu bingwa kabla hajajiunga na simba?
 
Berkane, ok akacheza misimu mingapi? Na baada ya hapo akaenda timu ipi mpya zaidi ya kurudia matapishi? Kumemshinda karudi, kama angekuwa bora asingerudi Simba bali angeenda kwenye timu kubwa zaidi ya hiyo Berkane.
Nawauliza nyie UTO, kama mmeweza msajili mkude mtashindwa msajili chama kweli?
 
Wachezaji wazuri huwa wanaonwa na timu zingine uwezo na ubora wake. Sasa mchezaji anaishia kuimbwa na watanzania pekee kila msimu. Usikii tetesi yoyote ya kutakiwa na timu nyingine za nje.
Mchezaj mzur hata Tim ya taifa lake huwa inamuona!!! Mchezaj Kama hajulikan kweny taifa lake Hilo Ni kasha tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…