Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Kwa hy Berkane hawakumwona au walikuw vipofuSwali langu ni kwanini huyo mchezaji anaishia kuonekana na vilabu vya Tanzania pekee, kama ni mchezaji mwenye class kwanini timu za nje hazimuoni?
Chama angekuwa raia wa Ivory Cost angeitwa timu ya Taifa?Mchezaj mzur hata Tim ya taifa lake huwa inamuona!!! Mchezaj Kama hajulikan kweny taifa lake Hilo Ni kasha tu!!
Unajua quality ya wachezaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast na hao wa Zambia?Pacome hata Tim yake ya taifa haimfaham, ko ubora wake unaonekana kwa mazuzu wa Yanga tu
Berkane ndo imemuona Pacome???Kwa hy Berkane hawakumwona au walikuw vipofu
πππBerkane ndo imemuona Pacome???