"Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Wewe Mayalla namna gani

Nani alikwambia wanafukuzwa chamani? Wao wameitwa waende mbele ya kamati mambo watakayoulizwa na kuyaongelea wewe na mimi tunajuaje?

Kama wameitwa wakapewe pongezi je?
 
Pasca unawajua wanawake waiivyo hata wa kwako aikukimbia akaenda Marekani unadhani hatujui hiyo. Hauoji waipatikanaje mchakato mzima ni forgery . Mwandishi gani anatetea maovu, chuoni umefundishwa Mwandishi wa habari anatakiwa awe mkweii , je wewe unaukweii wowote au unataka upewe cheo tuu kujaii tumbo . Kikao kinaendeea Bahari Beach wewe ng'ang'ana tuu subiri nondo nzuri, yupo Sugu, Msigwa, Mbowe, Suzan Kiwanga n.k, Antipus anajiunga kwa video conference.
 
Paskali unakoelekea hata hao unaojipendekeza kwao watakukataa kwa kiwango unachowaonesha.
 
Tume walishawahi kukiri kuwa hawajapokea majina ya wabunge wa viti maalumu na hapo ni baada ya katibu mkuu kuwashutumu mwanzo kuwa wanampango wa kuratibu hao wabunge haramu.

Kama tume ilikili kutopokea majina ya wabunge wa viti maalumu wa chadema ituambie ilipokea tena lini hayo majina baada ya ile siku kukana kupata hayo majina kutoka kwa chadema?

Hapa lazima kuna mchezo mchafu umechezwa hata mtoa mada unalijua hilo ila kwa maslahi yako binafsi unalifumbia macho, richa ya hivyo sikulaumu kwa vile ulishajipambanua kuwa wewe ni mwanachama wa CCM, kwa hiyo kwa vile wewe ni mwana ccm tusitarajie ukaikandia ccm.

Yani mtu atolewe gerezani usiku, asubuhi aende Dodoma kuapa kwa mapenzi gani ya serikali?

kwa maoni yangu bora watimuliwe tu.
 
Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.

Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
  • Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
  • Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
  • Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
  • Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
  • Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!

Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.

Paskali
We msaliti wa ubinadamu, ina maana umekosa umaana kila sehemu. Ndani ya CCM huna maana. JF aheri ya Jingalao, huko CDM wewe ni ibilisi, mtaani wewe ni kule alikofukuliwa kibudu. Umuhimu wako huenda umebakia sehemu moja tu, ni kwa yule baba wa hila.

CCM wangekuwa na huruma wangekupa hata nafasi ya kubeba mafaili ya mwanasheria wa chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.

Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
  • Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
  • Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
  • Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
  • Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
  • Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!

Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.

Paskali
Mh. Pascal kwa hili kwa kweli ni kipimo halisi cha Demokrasia inayopiganiwa na Chadema. Watuonyeshe sasa kuwa hicho ni chama chenye Uhuru ,haki na maendeleo ya watu.

Kuwafukuza mama zetu na Dada zetu waliokipigania chama kwa miaka na kutoa sehemu ya mishahara yao kukijenga huku wanaume wakiwa waoga na wasaliti ni kuendeleza udikteta na ukatili kwa mama zetu waliojitoa kupigania Uhuru ,haki na maendeleo ya watu.

Atafutwe aliyepeleka majina ya nafasi hizo za ubunge na sio walioteuliwa na tume baada ya kupokea majina.

Wao wameitwa baada ya majina yao kufika kwenye tume. Kosa lao ni nini ?
Maendeleo ya watu ni pamoja na kuheshimu fursa za wakinamama zinazowapa kipato kikatiba.

Mh. Pascal nakuomba sana endapo watawafukuza hao Wakinamama walioteuliwa kulingana na katiba ya nchi yetu na hawakujipendekeza bali majina yao yalipelekwa na mtu asiyejulikana , basi tumuombe Msajili wa vyama akifute hicho chama haraka sana mana sio chama cha siasa na hakifuati katiba ya nchi.

Chama gani hicho cha siasa ambacho hakijali maslahi ya Nchi,wala maslahi ya wanachama wake waliokipigania !
Hicho chama kipo kwa ajili ya nani hasa mana kwa wananchi hakijali maslahi yao,kwa taifa hakijali maslahi mapana kwa taifa letu .
Kwa nini kisifutwe !!
Mbowe abadili mfumo wa kuongoza chama kidikteta na kuwaumiza wanachama na viongozi wenzake waliokipigania chama kwa miaka mingi.

Uchaguzi umepita na walioumizwa na uchaguzi huo hawana sababu ya kuendeleza dhulma inayodhaniwa kuwa ilifanyika kwa kuwaumiza wakina mama ili wakose maslahi yao yatakayowapa nguvu ya kukijenga chama na kuongoza BAWACHA wakiwa na nguvu ya kiredha na heshima kama wabunge. Lakini pia tunataka watu wa kubishana kwa hoja bungeni jambo ambalo wale 20 wanaliweza.
 
Kwani wamefanya kosa gani mpaka waitwe kamatiii kuuuu?? Yaaaniii wabunge ambao wanajipanga kutupia nondo Kali, bungeniii, huku halima mdee akiwa mwenyeki wa KUB, na esta amosi bulaya akiwa mnadhimu mkuu wa KUB. Sasa wanaitwa wapi tena hao wabunge wa JMT? Waliokosa ubunge jipangeni 2025.
Tena Bunge likianza halafu nikisikia mtu anambughudhi Esta Bulaya basi itabidi aitwe bungeni kujieleza kwenye kamati ya maadili.

Wakina Dada wa watu wamepata maslahi manono halafu wanaletewa fitina kinyume cha katiba ya nchi yetu.
 
Sio wewe uliyesema CDM hawastahili mbunge yoyote bunge hili? Sio Wewe uliyesema wakipata walau mbunge mmoja ndio watakua wamejitahidi! Sasa ngoma ishakuwa ngumu pesa za wahisani hazitoki sababu ya bunge la kijani ndio unaanza kumuona mdee kama shujaa!
 
Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.

Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
  • Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
  • Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
  • Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
  • Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
  • Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!

Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.

Paskali
Pascal unatafuta CHADEMA huoni hata haibu wewe ni mwandishi acha kuwa mshabiki maandalizi kaka,unajivunjia heshima kaka
 
Back
Top Bottom