GE2025 Mzozano Mahakamani kati ya Lissu na Askari Magereza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Serikali inatakiwa kuacha tabia ya kubambikia watu makesi mnawapa askari magereza kazi ngumu, hawa pia wanafamilia zao, wakianza kushitakiwa kwa majina yao mtawawekea mawakili au mtawatelekeza ili hali mmefanikiwa kwenye mambo yenu ya uchu wa madaraka
 
Askari magereza wako sahihi
Akidhurika nani atawajibika?
Chochote wakitaka kumpa lazima kipitie kwa askari wakague usalama wake ndio wampe

Wanafanya hivyo kwa usalama wake
Acha kutetea upuuzi wewe? Wanamkataza hata kuwapa mkono mawakili wake? Pumbavu sana! Yako mengi yana bunduki kubwa na mbwembwe nyingi utafikiri Lissu amekuwa Osama? Kuna kamoja kamekonda kanaonesha mbwembwe hako?
 
Kuna mambo ya kipuuz sana hii nchi....hakuna utawala wa sheria kabisa...ni vurugu tu kama wanyama...halafu tunasema tuna uongoz...nonesence
 
Yaah hao askar wanachofanya ni maagizo kabisa...they know what they are doing....ushenzi wa.watawala washenZ
 
Kwa wenye mtindio wa akili wataona hivyo, hebu tuambie Sheria inasemaje kwa mawasiliano na mshtakiwa na mawakili wake?
Mahakamani ni kwa ruksa ya hakimu au jaji sababu ndani ya mahakama bosi hakimu na jaji
 
Hapo unakuta Kuna mbulula Moja asiyejua Sheria imewajaza maneno Kua asipewe kitu chochote pasipokupita mikononi mwenu
 
The most terrible mistake is to give fool(s) power to rule or control other people.
I buy this giving power to individuals who lack wisdom, judgment, or integrity can lead to harmful consequences for society. History has many examples where poor leadership resulted in suffering, conflict, or decline. It’s a call for vigilance in choosing leaders wiselyβ€”based on competence, character, and vision.
 
Ila hao askari wana haki ya kufanya hivyo ili kulinda usalama wa Lissu kufuatia ile tetesi kwamba huenda akapewa sumu akiwa huko magereza.
Askari anaposhika nyaraka za lisu anamlindaje? Kama ina sumu huoni na yeye ana ji expose?
 
Askari anaposhika nyaraka za lisu anamlindaje? Kama ina sumu huoni na yeye ana ji expose?
Kweli.
Ila kuna utofauti wa kiwango cha uelewa kwa hao askari.
Mara nyingi askari wanapewa amri na sio maelekezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…