Acha kutetea upuuzi wewe? Wanamkataza hata kuwapa mkono mawakili wake? Pumbavu sana! Yako mengi yana bunduki kubwa na mbwembwe nyingi utafikiri Lissu amekuwa Osama? Kuna kamoja kamekonda kanaonesha mbwembwe hako?Askari magereza wako sahihi
Akidhurika nani atawajibika?
Chochote wakitaka kumpa lazima kipitie kwa askari wakague usalama wake ndio wampe
Wanafanya hivyo kwa usalama wake
Na kiongoz mkuu anaon. Sawa tuSasa hii inachafuwa taswira ya nchi
Kumejaa uharo tu hukoKwa hiyo mawasiliano kati ya mshtakiwa na mawakili wake yanafanyikaje?
Tumia akili kidogo siyo hicho kiungo unachotumia kufikiria
Mahakamani ni kwa ruksa ya hakimu au jaji sababu ndani ya mahakama bosi hakimu na jajiKwa wenye mtindio wa akili wataona hivyo, hebu tuambie Sheria inasemaje kwa mawasiliano na mshtakiwa na mawakili wake?
I buy this giving power to individuals who lack wisdom, judgment, or integrity can lead to harmful consequences for society. History has many examples where poor leadership resulted in suffering, conflict, or decline. It’s a call for vigilance in choosing leaders wisely—based on competence, character, and vision.The most terrible mistake is to give fool(s) power to rule or control other people.
HawajitambuiJamaa anawanyoosha hawa wapumbavu haswa
Tia neno wakili msomi. Je sheria inasemaje katika hilo?😀 😀 😀
Askari anaposhika nyaraka za lisu anamlindaje? Kama ina sumu huoni na yeye ana ji expose?Ila hao askari wana haki ya kufanya hivyo ili kulinda usalama wa Lissu kufuatia ile tetesi kwamba huenda akapewa sumu akiwa huko magereza.
Kweli.Askari anaposhika nyaraka za lisu anamlindaje? Kama ina sumu huoni na yeye ana ji expose?
Aisee! Wewe umeanika Siri zao! Watakutafuta Hawa wapuuzi! Ila hawatakupata wewe ni mtu wa Mungu!Hawa wajinga ndiyo maana wanaishi kwenye vibanda vya mabati kama njiwa.
SahihiHawajitambui