Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Hizi story huwa mnazipatia wapi?
 
Halafu na sikia kuna mkuano wa SADC nao Kagame kuna kitu anakiogopa,naona kabisa SA na JWTZ sizani kama watakubali naona alizoom akaona kuna vita kali mbele yake na M23.
BBC inaripoti kuwa Rwanda kaingiza askari wengi sana mjini gonna leo.
 
Hahahaha acha habari zako wewe ni humu sio sehemu ya kudanganya watu tanzania ishapokea kichapo kutoka Kwa m23 kama wanajiamini waende wakaue mwanajeshi hata mmoja wa m23 halafu waone kama watu hawajawaletea vita tanzania katika nchi ambayo m23 wanaitamani ukitoa congo tanzania yaana wanahasira nao na kipindi hiki wanajeshi lililoshiba usije ukajuchanganya utaandika historia ya jeshi la tanzania na raia wake kuabika vibaya sana nadhani unazungumza vitu ambavyo hujui hao sio m23 wa 2013 mzee pima halafu uone
 
Mtusi unabweka kwenye platform ya watanzania,kabweke Rwanda huko,mwambie mbu mkuu aombe vita vya kirafiki
 
Nani wa kumwamini sana?
Ukitafuta habari tumia mashirika mengine halafu uone kama Taarifa zinafanana ndo utoe majumuisho kwamba ukweli ni upi. Usitegemee shirika moja tuu.
 
Mtusi unabweka kwenye platform ya watanzania,kabweke Rwanda huko,mwambie mbu mkuu aombe vita vya kirafiki
Kashaua wanajeshi wenu 6 mmetangaziwa wawili kama jeshi linauwezo lilipe kisasi sio ngonjera hii sio miaka ya kupigana mikwara🤣🤣🤣🤣
 
Ukitafuta habari tumia mashirika mengine halafu uone kama Taarifa zinafanana ndo utoe majumuisho kwamba ukweli ni upi. Usitegemee shirika moja tuu.
Wanajeshi wa rwanda Leo wamejaa goma mzee
 
Sio watapigwa washapigika mizoga Yao wameibeba tena sio south Africa na tanzania Kuna mizoga Yao wameichukua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lioneni hili sehnge la kitusi,,, huyo kagame unaemshabikia hana uwezo wa kubatle hata na jeshi la mgambo la bongo yeye mwenyewe anajua hilo,, kufa wanajeshi wawili wa Tanzania na kumi na wanne wa South Africa si tatizo kwani hakuna vita ambayo askari hawafi,, hata hao wayahudi mnaowasifia wana akili na jeshi imara lkn wamepoteza askari wengi gaza mbele ya wanamgambo wasikiokuwa na hata kifaru wala ndege vita zaidi ya mawe na RPG... kaa kwa kutulia operesheni yenu inakuja soon, mnajazana tu bongo mbwa nyie, alafu mkishakaribishwa mnaanza jeuli.
 
W
We Kweli punga Sasa mtu kashakuulia wanajeshi wako we unasubiri nini hahahaa yaani umeshapokea kipigo Cha mbwa Koko we bado unabwekea bandani kwako tu huna jeshi mzee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo inaweza kuchukuliwa kama ajali kazini kwani hao waTz walikuwa ni walinzi wa amani (SADC) na sio wapambanaji frontline.
Mlinzi wa amani ni mungu tu wengine wote ni wavamizi na m23 haitasita kuwatembezea kichapo kikali 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…