Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Kwa taarifa tu makampuni ya madini ya SA ndo wamiliki wakubwa wa migodi ya Kongo ! Hivyo serikali ya SA ina maslahi Kongo kwa maana ya kwamba malipo yote wanayopokea makampuni hayo yanapitia katika mabenki ya SA hivo serikali inapata kodi kbwa tu
 
South Africa walituma tu mgambo kupima nguvu ya upepo; Walipo tangaza kuwa sasa watapelekewa jeshi lisambaratishe hadi kigali...si wametimka...
Huko south Africa Kuna migambo tu hamna jeshi la kupambania na m23
 
Wasema tu wameufyata baada ya Trump na Putin kusikika
 
Hao wanaongia ni jeshi la rwanda wamenda kusaidia mazombi yao
Hahahaha eti mazombi wanaume wameiteka goma wanafanya watakalo nyie mademu kazi kulialia eti mizoga yenu imeuwawa mlifikiri mnakuja harusini sio🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sijui kama unaijua South Africa au unaisikia tu kwenye vyombo vya habari, kule ni habari nyingine bosi.
Wako mbele saaaana kwa techonologia na kila kitu kama ulaya
Zile vurugu zinazotokea pale mara moja moja zisikuchanganye...
Nimeishi SA tokea rais ni De Clark, mara ya kwanza naingia North America nilikuwa nikitumia SA passport back then 50 Rand ikiwa ndiyo noti yao(yetu) kubwa. I know the country like the back of my hand, usijipoteze kuniuliza kuhusu SA.
US kilichomkuta Vietnam kinaweza kukufungua macho kuwa vita ni zaidi ya technology. Resilience, determination, kujua vizuri terrain and a lot of other different factors ndivyo muhimu when you're on the ground. Vita havina mwenyewe.
 
Congo inamakundi mengi sana mengine ni kama yamechanganyikiwa kama lile la ADF linalotaka Uganda yenye Wakristo asilimia 90% ati Uganda iwe Islamic Emirate of Uganda mjani wa Kongo naona ni mkali sana.
 
Waongooo....!
Hao Watusi Wajanja Sana....! Ni kwamba soon wanakwenda kuipoteza Goma...!

Watarudishwa Nyuma mpaka walipotoka, then wao watajitetea kwamba waliona Majeshi ya Congo na Washirika, wakiua Sana Raia, hivyo wakaamua kurudi Nyuma Kwa kuepusha maafa zaidi.
 
Sio watapigwa washapigika mizoga Yao wameibeba tena sio south Africa na tanzania Kuna mizoga Yao wameichukua 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
M23 na kaka zao wao hawajafa? By the way, kwenye vita kuna upande usiopoteza askari hata kama ni wachache? Tatizo huwa unaangalia cartoon warfare tu.
 
Kwahiyo uko kambi moja na Mayimayi Cannibals ambao wameanza kula Nyama ya maiti za Askari wanaofia kwenye mapigano?!

Mumekosa nyama ya Ng'ombe?!
Uliona wapi mayimayi tunakula nyama ya mutu mwenye amekufa!?..sisi tunakulagha nyama ya mupoli tu
 
Uliona wapi mayimayi tunakula nyama ya mutu mwenye amekufa!?..sisi tunakulagha nyama ya mupoli tu

DRC: 8,000 Mayi-Mayi accused of cannibalism, disarmed in southern Katanga​

Format News and Press ReleaseSource
Posted13 Feb 2003Originally published13 Feb 2003
KINSHASA, 13 February (IRIN) - An estimated 8,000 Mayi-Mayi militiamen accused of cannibalism were disarmed last weekend in the Haut Lomami District of southern Katanga Province, the provincial governor, Aime Ngoy Mukena Lusa, told IRIN on Wednesday.
The fighters agreed to lay down their arms on 7 February following negotiations between Ngoy and their leaders in the village of Musau, home of one of the most prominent Mayi-Mayi leaders,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…