Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

Stupid. Nchi ngapi zimemwaga damu na bado haziside na mabeberu kama nyinyi. Nyinyi ni bure kabisa. Since apartheid era
 
Stupid. Nchi ngapi zimemwaga damu na bado haziside na mabeberu kama nyinyi. Nyinyi ni bure kabisa. Since apartheid era
Nyie kwendeni huko hakumumwaga damu yoyote na mnajifanya freedom fighters. Tafuteni watu wa kudanganya. Hamujawahi kushika bunduki au mikuki kupigana na mabeberu
 
Haya, wewe ndo unafanya mradi kwa kumtukana, kukuza tu akili yako, miradi inafanywa na wana nchi na siyo viongozi, ni walipa kodi, kuna mradi gani Mbowe kafanya
 
MY TAKE: Kwendako hisani, hurudi hisani. Kuna baadhi ya nchi hapa Afrika hazikujihusisha na ukombozi wowote wa Afrika, wao ndio wapo mstari wa mbele kuunga mkono vikwazo dhidi ya Urusi.
Manyang'au hao tunawajua! Once nyang'au always nyang'au!
 
Gutierez mkubwa wa UN ameshaambia Russia kwamba hawawezi kushinda hii vita.
 
Wewe jamaa kwa nini unatetea unyama ambao Russia inafanyia watu innocent ambao hawajafanya kosa lolote? Hivi hata kama una matatizo na Nato hio sio sababu ya kukufanya wewe kusapoti unyama wa Russia.
Hivi wewe mbona unaunga mkono Israel ikiwaua watoto na mama wa Palestina kwa zaidi ya miaka 60 Sasa wakiungwa mkono na USA?, Kwanini hukupaza sauti wakati Wamarekani waliokua wakiwachinja watoto na wanawake huko Iraq, Afghanistan na Sasa hivi huko Yemen, au kwasababu wazungu ni mabwana zenu?
 
Reactions: Oii

Acha uoga boya. Kwa iyo kama watamuondo ndio asiseme uovu na double standards wanazofanya.
Mijitu kama nyinyi ndio mnaturudishaga nyuma kwenye hizi harakati. Mioga kama kunguru
Cio mioga ni brainwashed
 
Reactions: Oii
Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!

Bravo! Well said.
 
Hujui uandikalo dogo. Lini Malema aliishawahi Kuna Tanzania na kuishukuru kwa kutumia raslimali zake kidogo kuhakikisha wao akina Malema wanapata Uhuru wa kweli? Wanawatetea Warusi badala ya watu wa Morogoro? Ujinga gani huu?
 
Kwani Malema alishakwenda Urusi kuwashukuru?, Lini Tanzania ilipata matatizo na Malema akaacha kuwa upande wa Tanzania?. Mara zote Malema amekua akilaani wananchi wa Afrika kusini wenye kuwabagua waafrika wengine wausi kwa kuwakumbusha jinsi nchi mbalimbali za Afrika kwa kuwasaidia wakati wa ukombozi wa nchi yao
 
Aliishawahi kufanya nini zaidi ya kulaani? Wakati wa Xenophobia, aliishawahi angalau kutembelea nchi moja ya Afrika na kuwaomba msamaha? Huyo Malema si lolote so chochote. Siasa za sasa hazimuhitaji Malema. Asipobadilika atapotea haraja sana kwenye siasa.
 
Zaidi ya kuwa kiongozi wa chama cha upinzani hana mamlako yoyote Wala idhini yoyote ya kuiwakilisha South Afrika nje ya mipaka, hivi akija Tanzania atapokelewa Kama nani?, serikali zinafanya kazi na serikali, sio watu binafsi wala vyama vya upinzani, hivi unajua itifaki za kuongoza nchi au unaropoka?. Eti atembelee nchi za Africa na kuomba msamaha, yeye Kama nani?, Hilo no jukumu la viongozi wa serikali iliyoko madarakani,
 
Ahahahahahahaha!
 
This kind of you people is what we call it "mahaba niue for USA & EU"

Who are you by the way to range boundaries for Malema's talking [emoji848][emoji19]
He spoke his mind.

Why do you want him to think as you are?

Btw, Russia is very irrelevant in todays world.

Sanctions are killing Russian economy.
 
Nyie kwendeni huko hakumumwaga damu yoyote na mnajifanya freedom fighters. Tafuteni watu wa kudanganya. Hamujawahi kushika bunduki au mikuki kupigana na mabeberu
nyang'au linaongea😳
 
Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!

Mahaba tu yamemvaa![emoji13]
Yaani Amesha sahau kwamba zama hizo ni ussr ikiwemo Ukraine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…