Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Stupid. Nchi ngapi zimemwaga damu na bado haziside na mabeberu kama nyinyi. Nyinyi ni bure kabisa. Since apartheid erajoto la jiwe nyie kwa sababu hamkuuwawa na hao mabeberu ndio maana mlikuwa na nyege ya kupigana nao. Sisi hamu ya kupigana nao ilikwisha wakati tulipata uhuru wetu. Tulikuwa tumepoteza watu 50,000 kwenye vita na beberu, hatukuwa na hamu wala kiu ya vita na wao. Kwa hivyo unaweza kuendelea kutuita wasaliti jinsi unavyotaka lakini ukumbuke nyinyi hamkumwaga damu ili kupata uhuru wenu. Nyie sio shujaa kutushinda. Nchi chache sana Afrika zilipigania uhuru wao kwa kumwaga damu na Kenya ni moja wao.