Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
This isn't a wish game... It's numbers and it's very much fact based.Lissu anaenda kuondoa hilo
Kura zote kwa Lisssu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This isn't a wish game... It's numbers and it's very much fact based.Lissu anaenda kuondoa hilo
Kura zote kwa Lisssu
Capitalism nadhani hoja yake kubwa ni kupata zaidi ya mwingine. Maximize your profit.. it's about winning.... Winning and winning...
Nimeona prof mmoja akipresent paper and he says how vital it is for sub saharan africa to stay impoverished for betterment of the developed world.
Imagine una kiwanda in a place there is only 10workers you can have and suddenly all the workers want to start their own venture... That means the end of your establishment.. 🙂
Africa can't rise.. ref the rise of Asian Tigers... S.Africa, Brazil, India, Russia na China that took away so much cheap labor, cheap raw materials.. na hiyo imewaingiza nchi zote hizo kwenye scramble of the little left (raw materials, cheap labor na markets) the next wave will be so much hit with all sort of nastiness the resilient will persevere
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
mmmmh! ni sawa kwa kuongea ila kiuhalisi ni ngumu hivi assume akakataa kutengeneza dawa na kashatutoa kwenye mitishamba wamebaki masai tuu. Watu wakafa mtamuelewaja jiwe Kama kuwabada kidogo tu mnataka lisuu. Haya umesema tujichukulie kama tz VP majirani Kama tu kutangaza kushinda Corona kwa maombi kwa kuwa hatuna uwezo majirani wanatuona wajinga wao ni bega kwa bega na mabeberu. Je beberu hata chochea maana ameonekana kawashika akili ile mbaya. Yaani ku mbanner jirani yako na kumruhusu beberu atue hapa majirani mmeonyesha uzaifu mkubwa mnoo.Na kwa nini umshinde? Hapo ndipo tunapokosea kwa maoni yangu, Capitalist siyo adui yetu na wala hatuko vitani, vipi kuhusu kushirikiana na Capitalist kuhakikisha na sisi tunafaidika pia? Ninaposema sisi namaanisha Tanzania, achana na mambo ya Afrika kwa sasa, tunaongela nchi yetu, kama tukijifunza tunaweza kushirikiana na Capitalists na kufaidika pia, ...
mmmmh! ni sawa kwa kuongea ila kiuhalisi ni ngumu hivi assume akakataa kutengeneza dawa na kashatutoa kwenye mitishamba wamebaki masai tuu. Watu wakafa mtamuelewaja jiwe Kama kuwabada kidogo tu mnataka lisuu. Haya umesema tujichukulie kama tz VP majirani Kama tu kutangaza kushinda Corona kwa maombi kwa kuwa hatuna uwezo majirani wanatuona wajinga wao ni bega kwa bega na mabeberu. Je beberu hata chochea maana ameonekana kawashika akili ile mbaya. Yaani ku mbanner jirani yako na kumruhusu beberu atue hapa majirani mmeonyesha uzaifu mkubwa mnoo.
ni umoja na imani sahihi Mambo ya traditional faith yasitishwe maana Yana leta ukabila na ujinga.Kwa hiyo suluhisho ni nini? Labda kuondoa Capitalistic system na kuleta socialism lkn binafsi siyo big fan wa socialism/communism, naamini kabisa bado Capitalism ni mfumo bora wa maisha ambao ukiuelewa na kuutumia vizuri unaweza kukusaidia sana, ipo mifano mingi ya nchi zilizojifunza na kufanikiwa mfano Korea Kusini, Taiwani, Singapore na hata Vietnam wanakwenda vizuri pia wakati Vietnam tulikuwa nao sawa tu leo hii sehemu kubwa ya viatu Duniani vinatengenezwa Vietnam, hata hapa kwetu Afrika kuna mifano ya succcess stories nchi kama Mauritius au hata Shelisheli wamefanikiwa sana, sasa wamewezaje sisi wengine tushindwe?
ni umoja na imani sahihi Mambo ya traditional faith yasitishwe maana Yana leta ukabila na ujinga.
Mfano jiwe kasha weka umoja na congo, Rwanda, Burundi, Zambia Malawi na uganda
yaani alishatutoa kwenye mfumo wa tiba ya Bei poa . Kasha tuweka kwenye mfumo wake ambao tutatumia dawa zake Kwa Bei anayo takaSijakuelewa unachomaanisha na unachokiongelea, sijui mambo ya miti shamba na Wamasai yametokea, na yana uhusiano gani na Mada husika?
Ushelisheli ni uchumi mdogo na wamejikita kwenye finance... Kwa kifupi wamekubali kutumika na kafiri ilimradi wafike.. Mauritius is a tax heaven kwa udogo wake it makes sense.. ila kwa nchi kubwa kama Tanzania huwezi kwenda kwa mfumo huo.Kwa hiyo suluhisho ni nini? Labda kuondoa Capitalistic system na kuleta socialism lkn binafsi siyo big fan wa socialism/communism, naamini kabisa bado Capitalism ni mfumo bora wa maisha ambao ukiuelewa na kuutumia vizuri unaweza kukusaidia sana, ipo mifano mingi ya nchi zilizojifunza na kufanikiwa mfano Korea Kusini, Taiwani, Singapore na hata Vietnam wanakwenda vizuri pia wakati Vietnam tulikuwa nao sawa tu leo hii sehemu kubwa ya viatu Duniani vinatengenezwa Vietnam, hata hapa kwetu Afrika kuna mifano ya succcess stories nchi kama Mauritius au hata Shelisheli wamefanikiwa sana, sasa wamewezaje sisi wengine tushindwe?