Mzungu akiri kuwa mabeberu watafanya lolote kuhakikisha Africa inabakia kuwa masikini

Capitalism nadhani hoja yake kubwa ni kupata zaidi ya mwingine. Maximize your profit.. it's about winning.... Winning and winning...

Nimeona prof mmoja akipresent paper and he says how vital it is for sub saharan africa to stay impoverished for betterment of the developed world.

Imagine una kiwanda in a place there is only 10workers you can have and suddenly all the workers want to start their own venture... That means the end of your establishment.. 🙂

Africa can't rise.. ref the rise of Asian Tigers... S.Africa, Brazil, India, Russia na China that took away so much cheap labor, cheap raw materials.. na hiyo imewaingiza nchi zote hizo kwenye scramble of the little left (raw materials, cheap labor na markets) the next wave will be so much hit with all sort of nastiness the resilient will persevere

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Kwa hiyo suluhisho ni nini? Labda kuondoa Capitalistic system na kuleta socialism lkn binafsi siyo big fan wa socialism/communism, naamini kabisa bado Capitalism ni mfumo bora wa maisha ambao ukiuelewa na kuutumia vizuri unaweza kukusaidia sana, ipo mifano mingi ya nchi zilizojifunza na kufanikiwa mfano Korea Kusini, Taiwani, Singapore na hata Vietnam wanakwenda vizuri pia wakati Vietnam tulikuwa nao sawa tu leo hii sehemu kubwa ya viatu Duniani vinatengenezwa Vietnam, hata hapa kwetu Afrika kuna mifano ya succcess stories nchi kama Mauritius au hata Shelisheli wamefanikiwa sana, sasa wamewezaje sisi wengine tushindwe?
 
Na kwa nini umshinde? Hapo ndipo tunapokosea kwa maoni yangu, Capitalist siyo adui yetu na wala hatuko vitani, vipi kuhusu kushirikiana na Capitalist kuhakikisha na sisi tunafaidika pia? Ninaposema sisi namaanisha Tanzania, achana na mambo ya Afrika kwa sasa, tunaongela nchi yetu, kama tukijifunza tunaweza kushirikiana na Capitalists na kufaidika pia, ...
mmmmh! ni sawa kwa kuongea ila kiuhalisi ni ngumu hivi assume akakataa kutengeneza dawa na kashatutoa kwenye mitishamba wamebaki masai tuu. Watu wakafa mtamuelewaja jiwe Kama kuwabada kidogo tu mnataka lisuu. Haya umesema tujichukulie kama tz VP majirani Kama tu kutangaza kushinda Corona kwa maombi kwa kuwa hatuna uwezo majirani wanatuona wajinga wao ni bega kwa bega na mabeberu. Je beberu hata chochea maana ameonekana kawashika akili ile mbaya. Yaani ku mbanner jirani yako na kumruhusu beberu atue hapa majirani mmeonyesha uzaifu mkubwa mnoo.
 
Sijakuelewa unachomaanisha na unachokiongelea, sijui mambo ya miti shamba na Wamasai yametokea, na yana uhusiano gani na Mada husika?
 
Kwa hiyo suluhisho ni nini? Labda kuondoa Capitalistic system na kuleta socialism lkn binafsi siyo big fan wa socialism/communism, naamini kabisa bado Capitalism ni mfumo bora wa maisha ambao ukiuelewa na kuutumia vizuri unaweza kukusaidia sana, ipo mifano mingi ya nchi zilizojifunza na kufanikiwa mfano Korea Kusini, Taiwani, Singapore na hata Vietnam wanakwenda vizuri pia wakati Vietnam tulikuwa nao sawa tu leo hii sehemu kubwa ya viatu Duniani vinatengenezwa Vietnam, hata hapa kwetu Afrika kuna mifano ya succcess stories nchi kama Mauritius au hata Shelisheli wamefanikiwa sana, sasa wamewezaje sisi wengine tushindwe?
ni umoja na imani sahihi Mambo ya traditional faith yasitishwe maana Yana leta ukabila na ujinga.

Mfano jiwe kasha weka umoja na congo, Rwanda, Burundi, Zambia Malawi na uganda
 
Sijakuelewa unachomaanisha na unachokiongelea, sijui mambo ya miti shamba na Wamasai yametokea, na yana uhusiano gani na Mada husika?
yaani alishatutoa kwenye mfumo wa tiba ya Bei poa . Kasha tuweka kwenye mfumo wake ambao tutatumia dawa zake Kwa Bei anayo taka

Mfano walivyo sema tukijifukizie ile ni dawa ambayo ni kweli inatibu magonjwa aina ya mafua hata mm nimetumia na sio kwamba ni upigaji lamli hapana. Haya dawa za snakebites ukitaka kupona bila traditional medicine unaweza kufa au ukawa kilema. Watu wanatumia maziwa ya mwanamke, mkojo Kama dawa lakini haya Mambo yanaonekana ni ujinga. Japo ukifikiri unaona Kama ni ucrazy flani
 
Kwa hiyo suluhisho ni nini? Labda kuondoa Capitalistic system na kuleta socialism lkn binafsi siyo big fan wa socialism/communism, naamini kabisa bado Capitalism ni mfumo bora wa maisha ambao ukiuelewa na kuutumia vizuri unaweza kukusaidia sana, ipo mifano mingi ya nchi zilizojifunza na kufanikiwa mfano Korea Kusini, Taiwani, Singapore na hata Vietnam wanakwenda vizuri pia wakati Vietnam tulikuwa nao sawa tu leo hii sehemu kubwa ya viatu Duniani vinatengenezwa Vietnam, hata hapa kwetu Afrika kuna mifano ya succcess stories nchi kama Mauritius au hata Shelisheli wamefanikiwa sana, sasa wamewezaje sisi wengine tushindwe?
Ushelisheli ni uchumi mdogo na wamejikita kwenye finance... Kwa kifupi wamekubali kutumika na kafiri ilimradi wafike.. Mauritius is a tax heaven kwa udogo wake it makes sense.. ila kwa nchi kubwa kama Tanzania huwezi kwenda kwa mfumo huo.

Ubepari by it self sio suluhisho.. lazima kuwe na twist yetu wenyewe ili ufae mazingira yetu. Hata hizi nchi zinazojiita za kibepari ukiangalia the foundation of it ni mfumo wa 50/50. Kwa maana upo ubepari kwa kureward effort lakini pia zipo tabia za ujamaa kwa maana ya kuhakikisha some benefits if the economy are for all.

Haya mataifa makubwa yanamask the fact they were not built of Ubepari at all... In our time we have a great example China Vietnam and Korea! In the early 1980's through 1990's walipigwa vikwazo left right and center.. because they figured the way.. na unlike us who saw the light at the same time 1960's we didn't see it through.

Soln.
We are just starting again.. if we take charge of our own future..decide and commit like we have done in these past five years... Get rid of useless NGO'S, have a clear nationalistic development agenda that replaces party manifestos...(So parties would compete on the best implementation strategies) and turn around our education to fit our national development agenda.

Back
Top Bottom