jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Watu wanatawala dunia tunaachaje kuwaweka vip?Iwe ni mchina, mwarabu, mhindi, n.k. Mzungu ana title yake aisee.... yani mzungu akienda china, india, uarabuni, n.k. huwa jamii inamchukulia ki v.i.p sema huku tumezidi sana .... kacheki documentaries uone hii ishu..