jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Watu wanatawala dunia tunaachaje kuwaweka vip?Iwe ni mchina, mwarabu, mhindi, n.k. Mzungu ana title yake aisee.... yani mzungu akienda china, india, uarabuni, n.k. huwa jamii inamchukulia ki v.i.p sema huku tumezidi sana .... kacheki documentaries uone hii ishu..
Umeandika ukweli mtupuUlichokiongea kinaukweli
Hawa watu kwakiasi Fulani wanachukuliwa VIP kwa sababu..
Wanajielewa Sana afrika Ni kama nyumbu tu.
Wazungu wanajali sana muda hawana muda wa umbea umbea Kama sisi
Natamani waingereza waje watutawale Tena.
Waafrika tuna roho mbaya Sana Tena Sana. Sio wananchi Wala viongozi.
Wizi, Tamaa, uchawi, chuki, ubinafisi, lawama, tunajificha kwenye kichaka Cha dini kumbe ndi bure kabisa ( hapa Mungu atatuhukumu kwa unafiki )
Apa kwenye wahaya labda misifa ya kipuuzi kibongo bongo ni mandezi ya mwisho ndo maana Dada zao kazi ya kujiuza ndo wanajua.Dunia nzima ndivyo ilivyo
Katika platforms zote za kutafuta marafiki mtandaoni dunia nzima search for westerners,
Huko Japan na uchina wadada ndoto zao ni kuzalishwa na wazungu.
Deep down lazma kuna sababu za kiroho kabisa ktk hili...
Mungu kuna kitu amewapa cha ziada ni sawa na waisrael na wahaya na watutsi kuna Mambo ya ziada MUNGU amewapa
Japo sikufahamu Ila kwa comment yako unaonekana Ni mbinafsi, mbaguzi, katili na mwenye majivunoNi ushamba na ulimbikeni na ujinga na upumbavu na upuuzi
Dunia nzima ndivyo ilivyo
Katika platforms zote za kutafuta marafiki mtandaoni dunia nzima search for westerners,
Huko Japan na uchina wadada ndoto zao ni kuzalishwa na wazungu.
Deep down lazma kuna sababu za kiroho kabisa ktk hili...
Mungu kuna kitu amewapa cha ziada ni sawa na waisrael na wahaya na watutsi kuna Mambo ya ziada MUNGU amewapa
Yeah,kweli kabisaUlichokiongea kinaukweli
Hawa watu kwakiasi Fulani wanachukuliwa VIP kwa sababu..
Wanajielewa Sana afrika Ni kama nyumbu tu.
Wazungu wanajali sana muda hawana muda wa umbea umbea Kama sisi
Natamani waingereza waje watutawale Tena.
Waafrika tuna roho mbaya Sana Tena Sana. Sio wananchi Wala viongozi.
Wizi, Tamaa, uchawi, chuki, ubinafisi, lawama, tunajificha kwenye kichaka Cha dini kumbe ndi bure kabisa ( hapa Mungu atatuhukumu kwa unafiki )
Daah, AFILIKA ndio wapi?Kwa waarabu huwa ni wachumba tu hao wazungu, sema huku AFILIKA wengi wao hawajiamini, ni watu ambao yani akimuona mzungu anapigwa butwaa na kujihisi yeye si lolote.
Bhujiku ng'waka
Koda aliogopa ngeliNilisafari na bus Moshi Arusha, nilikuwa nimekaa na mzungu siti moja, konda hakutudai nauli.
Nilisafari na bus Moshi Arusha, nilikuwa nimekaa na mzungu siti moja, konda hakutudai nauli.
Daah, AFILIKA ndio wapi?
Kulipotokea vuguvugu la kisiasa Uarabuni mbona waarabu Walikuwa wanakimbilia ULAYA?( Ingawa maana ya mzungu huenda inamaanisha yule mtu anayetokea GREAT BRITAIN).
Nadhani mzungu ndio mtu wa kwanza kuzalisha na kutumia mashine tata zilizoendelea ulimwenguni, na pia nchi zetu hizi zinategemea misaada na mikopo toka kwa wazungu na mwisho kabisa ni kasumba ya ukoloni inayomwona mzungu kuwa yupo daraja la juu katika jamii kwa kumuona kuwa ni mtu aliyeelimika na mwenye ustaarabu wa juu.
Iwe ni mchina, mwarabu, mhindi, n.k. Mzungu ana title yake aisee.... yani mzungu akienda china, india, uarabuni, n.k. huwa jamii inamchukulia ki v.i.p sema huku tumezidi sana .... kacheki documentaries uone hii ishu..
Bas sawaJapo sikufahamu Ila kwa comment yako unaonekana Ni mbinafsi, mbaguzi, katili na mwenye majivuno