Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaposemwa kama kaharibu Demokrasia ni hivi, odds zote ziko kwake, kwa sababu Mihimili miwili ambayo inatakiwa imsimamie yeye ndio anateua wakuu wa hiyo Mihimili + Tume ya Uchaguzi + Wasimamizi wa Uchaguzi + Watangaza matokeo ya Uchaguzi.Mbona matatizo madogo sasa hayo
Neno beberu mbona sio tusi, ubeberu ni ubepari uliokomaa
Sasa kwani hao mbuzi sio mabepari?
Hakuna haja ya urafiki kwa jina la diplomasia kama upande mmoja unanyonywa
Sisi kuna viterminologies tumekaririshwa na tunaona sifa kuviimba
Utasikia demokrasia, diplomasia, Haki za binadamu, utawala wa sheria nk vyote hivi ni mifumo ya kinyonyaji ambayo kwao hawaitekelezi kwa asilimia zote
Mzee analaumiwa kwa kuharibu demokrasia kwanza sio kweli pili kama hiyo diplomasia ni ya kinyonyaji acha aiharibu
Tunaambiwa ameharibu demokrasia, ingekuwa na maana au ni applicable Trump asingekuwa rais
Tunaambiwa utawala wa sheria, juzikati kuna maafisa walimtolea ushahidi Trump kuhusu uchaguzi akawatimua
Tunaimbishwa nyimbo ambazo kwao hawatekelezi na ambazo waliopuuza wametoboa
Tumeletewa mfumo wa elimu wa hovyo ambao mtu akishakaririshwa hizo terminologies hapo juu anaona fahari kuziimba hadharani na ati ndio usomi wenyewe
MUNGU BARIKI AFRIKA
Inaposemwa kama kaharibu Demokrasia ni hivi, odds zote ziko kwake, kwa sababu Mihimili miwili ambayo inatakiwa imsimamie yeye ndio anateua wakuu wa hiyo Mihimili + Tume ya Uchaguzi + Wasimamizi wa Uchaguzi + Watangaza matokeo ya Uchaguzi.
Hizi advantages zilikuwepo tangu enzi ya Mwalimu ili havikuwa amplified kama sasa. Mzee baba kaamua kutumia hizi advantages kwa faida yake kwa sababu kwa asili na kama binadamu mwingine hapendi ushindani.
Waingereza walivyokuja Afrika nani aliwakataza?British man tells African migrants to "Don't come to England"
Katika video hapo chini mzungu anawaambia wahamiaji wa kiafrika kuwa wasiende Uingereza kwa kuwa wana wahamijai wa kutosha na watu wao ambao inabidi wawatumikie
View attachment 1563148
Hayo ni mawazo ya kiutumwa.
Na wewe warudishie misaada yote waliyokupa tangu uhuru hadi leo.
Kimsingi Waafrika tujipange tuanze kupenda na kuendeleza vya kwetu.
Wao wameweza kwa kupenda na kutengeneza vya kwao.
Tena uzuri tunapo pa kutazamia kwa hiyo hiyo ni shortcut tayari.
Kama waliiba kwani hakuna mahakama?
Prove uongo wangu.Muongo
Paragraph ya kwanza ulikuwa ushauri mzuri kabisa, baadaye ukaona haitoshi ukaamua kuingiza na siasa.Sawasawa kabisa, tutengeneze nchi zetu ziwe zaidi ya zao kusudi nao wakija huku tuwambie hivyo hivyo.
Tatizo letu tunajua kutamba tu kuwa bara letu ni tajiri lkn tumeshindwa kufanya maisha yetu yawe bora na matokeo yake ndio hayo ya kila moja kutaka kuzamia Ulaya. This is very silly indeed.
Hakuna siasa ila ndio ukweli. Mtaishia kusema hivyo hivyo kwa kutoa mfano wa Roma, mkishituka ni kiama kimewadia.Paragraph ya kwanza ulikuwa ushauri mzuri kabisa, baadaye ukaona haitoshi ukaamua kuingiza na siasa.
Unaambiwa hata ROMA haikujengwa kwa siku moja.
SawaHakuna siasa ila ndio ukweli. Mtaishia kusema hivyo hivyo kwa kutoa mfano wa Roma, mkishituka ni kiama kimewadia.
enheee, na wenyewe wamejibu niniBritish man tells African migrants to "Don't come to England"
Katika video hapo chini mzungu anawaambia wahamiaji wa kiafrika kuwa wasiende Uingereza kwa kuwa wana wahamijai wa kutosha na watu wao ambao inabidi wawatumikie
View attachment 1563148
Anayejaribu kutengeneza nchi anapigwa vita na akina Tundu LissuWaafrika matatizo tunayatafta wenyewe. Tunasshindwa kutengeneza nchi zetu tunakimbilia za wazungu, kwani tuliwasaidia kutengeneza nchi zao?
Muafrika anakitu gani hasa cha kuibiwa chenye maana kwa dunia?Kuambia wakoloni warudishe walichoiba sio utumwa.
Hio misaada yao ya kutufumba macha wakitulawiti hatuja waomba. Ni wanasiasa ndio wanakula hiyo misaada.
Bila shaka tuaneza kujenga kwetu Afrika tukituma wachache huko kulinda maslahi yetu kutoka inje.
Sana sana nearly 90% ila wanaogopa kuitwa wabaguzi. Mwingereza yuko tofauti kidogo na wazungu wenzao. Ni mnafiki 100%. Hatakuambia usoni maneno ya kibaguzi, ila mate matendo yake yatazungumza alivyo, mfano, kazi hutapata kama jina la mwisho ni la kiafrika. Kazini utakoma kwa kutokupata cheo na kufuatiliwa kila kona, madukani nq supermarket utakoma, michezoni hupati nafasi kama wazungu, uongozini ndio kabisa hasa kwenye siasa. Ni shida kwa kweli, ila ataongea swala la kupinga ubaguzi kama vile ana upend nawe kumbe gelesha tu, bure kabisa wale...Wazungu wengi wana mawazo kama ya huyu sema tu hawayasemi live.
Tena hao hao mabeberu tunaowatukana kila uchao wakipiga pini misaada ya ARV na soksi za kiume hapa afrika mbona ndani ya miezi sita tu nusu ya nchi zetu zitakuwa ni makaburi, yaani vilio kila nyumba tutapukutika kama nyasi kavu zilizoshika moto na ndio utakuwa mwisho wa bara hili sababu nguvu kazi asilimia kubwa ipo kwenye red zone.Mnamshambulia Lissu kukimbilia Ulaya kutibiwa, tuwe wa kweli angebaki TZ angehudumiwa alivyohudumiwa?
Kwa mazingira yale ya kushambuliwa hata ungekua wewe kama ungepata fursa ya kutibiwa ulaya usinge kataa.
Viongozi wetu wangapi walitibiwa ulaya. Je, mliwaita mawakala wa mabeberu?
Ninyi ndio mnaoeneza dhana ya wananchi kuamini hatuendelei sababu ya mabeberu kumbe tatizo ni sisi wenyewe.