Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

Hapo ndio unaona ni kiasi gani wakenya walivyo watu wabinafsi, hawa jamaa sio rahisi kuelewa na majirani zao kutokana na ubinafsi ulivyowajaa.
 
Kama kawa, wakenya wakiitwa nyani ndugu zao wa kusini (watanzania) wanafaa wajikumbushe kwamba wao ni nyani vilaza.
Kwa kweli sie wahindi tunawashangaa sana nyie miafrika. Mbona msiishi kwa upendo?
Kakojoe ulale we nyani wa kike wa muzungu
 
Nasisitiza tena kwa niaba ya mchina.kenya ni stupid MONKEY
 
Kama kawa, wakenya wakiitwa nyani ndugu zao wa kusini (watanzania) wanafaa wajikumbushe kwamba wao ni nyani vilaza.
Kwa kweli sie wahindi tunawashangaa sana nyie miafrika. Mbona msiishi kwa upendo?
I hate watu wakitoa sentesi za holier than thou kama hii yako......unaongea kama vile dark skin indians na light skin indians wanaishi kwa amani sana
 
I hate watu wakitoa sentesi za holier than thou kama hii yako......unaongea kama vile dark skin indians na light skin indians wanaishi kwa amani sana
Hebu tuwe na upendo mengine yote ni BURE hupita kama upepo.
Sweet dreams πŸ˜ƒπŸ’žπŸ˜πŸ˜˜ πŸŒ› πŸŒ›
 
Hili la mtu mweusi kutukanwa monkey halina mipaka tokea Africa Hadi Caribbean .

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Hilo lina mipaka kabisaa, tena msijaribu kuhusisha EA.
Si ni juzi tu audio ilivuja ya aliyekuwa Rais wa Marekani Ronald Reagan akiwaita delegates wa Tz nyani? Hilo lilikuwa tusi kwa watu wote weusi! Hili sio swala la ligi Mkuu. Ubaguzi wa rangi unafaa kukemewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…