Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

Oy inabi tuanzishe Uzi wa kukusanya matukio ambayo wakenya wanayausisha na eac Kwa sababu ni mabaya yametokea kenya na yale ambayo ni mazuri yaliyo tokea Kenya wakaitenga eac na kuitaja Kenya kama Kenya mfano kipindupindu kikitokea Kenya wakenya uandika hivi na kutangaza hivi -------
1) EAC yaendelea kusumbuliwa na ugonjwa wa kipindupindu
2)watalii wakipungua Kenya Kwa sababu ya ugaidi hiyo habari itaandikwa na kutangazwa hivi na vyombo vya habari pamoja na serikali yao kuwa ----- Ugaidi washamili EAC watalii wapungua Kwa sababu ya usalama.
Sasa imekuwa kawaida Kwa wakenya jema lao kuwa lao na baya lao kuwa la Africa nzima au EAC mfano wanachezaji wao wakishinda mbio za dunia utasikia wakisema Kenya yazidi kung'ara hapo neno AEC wala Africa hautolisikia
Hapo ndio unaona ni kiasi gani wakenya walivyo watu wabinafsi, hawa jamaa sio rahisi kuelewa na majirani zao kutokana na ubinafsi ulivyowajaa.
 
Kama kawa, wakenya wakiitwa nyani ndugu zao wa kusini (watanzania) wanafaa wajikumbushe kwamba wao ni nyani vilaza.
Kwa kweli sie wahindi tunawashangaa sana nyie miafrika. Mbona msiishi kwa upendo?
Kakojoe ulale we nyani wa kike wa muzungu
 
Unajua shida yenu kubwa wakenya ni hii,
Huwa napenda kutumia huu msemo "Nyani haoni kundule" mna katabia ya uchokozi alafu mkijibiwa mnaona kama hamstahili flani hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi ongea ujinga kuhusu nchi yangu alafu nikuache haiwezekani kabisa hiyo.
Nasisitiza tena kwa niaba ya mchina.kenya ni stupid MONKEY
 
Kama kawa, wakenya wakiitwa nyani ndugu zao wa kusini (watanzania) wanafaa wajikumbushe kwamba wao ni nyani vilaza.
Kwa kweli sie wahindi tunawashangaa sana nyie miafrika. Mbona msiishi kwa upendo?
I hate watu wakitoa sentesi za holier than thou kama hii yako......unaongea kama vile dark skin indians na light skin indians wanaishi kwa amani sana
 
I hate watu wakitoa sentesi za holier than thou kama hii yako......unaongea kama vile dark skin indians na light skin indians wanaishi kwa amani sana
Hebu tuwe na upendo mengine yote ni BURE hupita kama upepo.
Sweet dreams 😃💞😍😘 🌛 🌛
 
Huwa hausomi nyuzi ndugu zako wanazozifungua?
Kwa hilo la nyie kutukanwa komaeni nalo tu ili Mpunguze shobo za kijinga kwa hao wazungu,
Kwanini ikiwa kwenye mambo mazuri huwa hamjumushi EA nzima lakini kwenye mambo mabaya mnajumuisha EA nzima [emoji23][emoji23][emoji23]
Hili la mtu mweusi kutukanwa monkey halina mipaka tokea Africa Hadi Caribbean .

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Hilo lina mipaka kabisaa, tena msijaribu kuhusisha EA.
Si ni juzi tu audio ilivuja ya aliyekuwa Rais wa Marekani Ronald Reagan akiwaita delegates wa Tz nyani? Hilo lilikuwa tusi kwa watu wote weusi! Hili sio swala la ligi Mkuu. Ubaguzi wa rangi unafaa kukemewa.
 
Back
Top Bottom