Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you the Admin?Quit bro!
Watanzania tuwe wakweli na wawazi. Tusidindishe online vs Wakenya as if kama ingetokea kwetu tungemfanya huyo Mzungu lolote lile. Mara ngapi mambo kama haya wanafanyiwa Watanzania wenzetu ndani ya Tanzania na Watanzania wengine wanaanza kumsapoti Mzungu/Mchina/Mwarabu/Mhindi na kumcheka Mtanzania mwenzetu? Kuna stori kama kibao kama hizi zinatokea Tanzania mfano katika hotel, migahawa, mabasi, majumbani, sokoni. Watanzania tuache unafiki.
Kwani jf imekuwa whatsapp group 😂😂😂admin I feel like quiting this forum as a Kenyan. Our Tz brothers are full of negative energy!
chuki ya wazungu kwa watu weusi ina mizizi iliyozama zaidi ya unavyojua ndugu yangu isome utaijua sababu zakeHalafu kwa nini haya mambo yanatokea frequently kwa wakenya tu???
Watanzania tuwe wakweli na wawazi. Tusidindishe online vs Wakenya as if kama ingetokea kwetu tungemfanya huyo Mzungu lolote lile. Mara ngapi mambo kama haya wanafanyiwa Watanzania wenzetu ndani ya Tanzania na Watanzania wengine wanaanza kumsapoti Mzungu/Mchina/Mwarabu/Mhindi na kumcheka Mtanzania mwenzetu? Kuna stori kama kibao kama hizi zinatokea Tanzania mfano katika hotel, migahawa, mabasi, majumbani, sokoni. Watanzania tuache unafiki.
wakenya ni waafrica wakenya ni weusi kama wa uganda,tz,rwanda n,k
sasa hii vita si ya wakenya pekee ni kwa watu woote wapinga ubaguzi duniani
Tofauti yako na mkenya ni ipi? Mkenya akiitwa monkey sio tusi la kusherehekea maana mkenya anawakilisha rangi la jamii ya watu weusi.
Are you the Admin?
All i see is idiots, kwani nyinyi ni wazungu, kamati ya roho chafu tu,idiots
Povu[emoji2][emoji2]
Sawa mzungu,
Tofauti yangu na Mkenya ni kuwa mkeny ni Typical kibaraka wa mzungu, Mkenya huigiza maisha ya Uzungu Kenya ukizungumza Kiswahili kama wewe unaonekana hujasoma, Kenya ni nchi ya watu wanaolamba matako ya Wazungu. Hata katiba mpya ya Kenya imekuwa imported from US.
Sasa ikitokea mnatukanwa hivi na hao Mabwana zenu ndio tunashangaa inakuwaje,
Waafrika gani wanachukia waafrika wenzio na wanasambaza chuki hadi bungeni mwao, waache waitwe ata mbwa. Sio waafrika hawa