Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

Watanzania tuwe wakweli na wawazi. Tusidindishe online vs Wakenya as if kama ingetokea kwetu tungemfanya huyo Mzungu lolote lile. Mara ngapi mambo kama haya wanafanyiwa Watanzania wenzetu ndani ya Tanzania na Watanzania wengine wanaanza kumsapoti Mzungu/Mchina/Mwarabu/Mhindi na kumcheka Mtanzania mwenzetu? Kuna stori kama kibao kama hizi zinatokea Tanzania mfano katika hotel, migahawa, mabasi, majumbani, sokoni. Watanzania tuache unafiki.

Did you know that life starts when you stop taking everything so serious ?
 
Huu uwongo huu, na watz hawapo karbu na wazungu kiasi hiki kama wakenya. Kwenye maproject ya ujenzi ndo wapo lakn wanawatii sana watu weusi kibarua chao kisiote nyasi.
Watanzania tuwe wakweli na wawazi. Tusidindishe online vs Wakenya as if kama ingetokea kwetu tungemfanya huyo Mzungu lolote lile. Mara ngapi mambo kama haya wanafanyiwa Watanzania wenzetu ndani ya Tanzania na Watanzania wengine wanaanza kumsapoti Mzungu/Mchina/Mwarabu/Mhindi na kumcheka Mtanzania mwenzetu? Kuna stori kama kibao kama hizi zinatokea Tanzania mfano katika hotel, migahawa, mabasi, majumbani, sokoni. Watanzania tuache unafiki.
 
IMG_20191012_224425_867.jpg
IMG_20191012_224351_979.jpg
Jamaa hayupo Kenya!Alifurushwa!
 
The name of the intelligent black man in the middle of the show in black and white. Naombeni jina lake wakuu.
 
Km hujui kizungu itakua hujasoma kwel...manake sisi tunatumia english medium, haiwezekani usome miaka yote hyo kw kingereza halafu uwe hujui..labda uwe umesomea dirishani...manake haiwezekani iwe hujui hata kile cha kuunga unga bana

Simple logic...
Mtanzania halisi hapaswi kutokijua kiswahili kw ufasaha kw sababu hata shule education system ime base sana na kiswahili...
Kwanza nitashangaa sana niki kutana na mtu km huyo
Tofauti yangu na Mkenya ni kuwa mkeny ni Typical kibaraka wa mzungu, Mkenya huigiza maisha ya Uzungu Kenya ukizungumza Kiswahili kama wewe unaonekana hujasoma, Kenya ni nchi ya watu wanaolamba matako ya Wazungu. Hata katiba mpya ya Kenya imekuwa imported from US.
Sasa ikitokea mnatukanwa hivi na hao Mabwana zenu ndio tunashangaa inakuwaje,
 
Kama kawa, wakenya wakiitwa nyani ndugu zao wa kusini (watanzania) wanafaa wajikumbushe kwamba wao ni nyani vilaza.
Kwa kweli sie wahindi tunawashangaa sana nyie miafrika. Mbona msiishi kwa upendo?
 
Back
Top Bottom