game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Kama kawa, wakenya wakiitwa nyani ndugu zao wa kusini (watanzania) wanafaa wajikumbushe kwamba wao ni nyani vilaza.
Kwa kweli sie wahindi tunawashangaa sana nyie miafrika. Mbona msiishi kwa upendo?
Kumbe wewe ni Mhindi,
Kwa nini wanifanyia hivi?
Hebu nipee namba yako PM tafadhali, wajua mimi napenda sana wanawake waadilifu kama wewe,
Niko tayari kukwea behewa la sgr toka Mombasa( mji wa wa pwani ) hadi Nairobi mradi tu moyo wako uridhike[emoji8] mamaa[emoji2][emoji120][emoji120][emoji2][emoji173]️[emoji173]️[emoji2]