Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba zmungu kabadilika na kaenda na Ruto.
Hata hapa TZ inakuja, mtampapatikia mzungu mnavyoweza, mtacheza Movie zote lakini siku moja atapindua meza na tutakayemuapisha mtashangaa na kutafuta pa kujifichia.
Endelezeni tu matusi na kejeli kwa sababu sasa hivi mzungu mko naye au mnaamini hivyo atleast siku moja mtashangaa kama Raila anavyoshangaa, anapiga simu hakuna anayepokea, hata Obama hapokei tena, siku inakuja, nchi yetu inarudi.