Mzungu hana rafiki, kapindua meza Kenya ipo siku atapindua meza Tanzania!

Mzungu hana rafiki, kapindua meza Kenya ipo siku atapindua meza Tanzania!

Hakuna mtu alikuwa karibu na Mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya Mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni Cousin yake, lkn siku imefika na Mzungu kapindua Meza na Raila hatakiwi tena, najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lkn ukweli ni kwamba Mzungu kabadilika na kaenda na Ruto.

Hata hapa TZ inakuja, mtampapatikia Mzungu mnavyoweza, mtacheza Movie zote lkn siku moja atapindua Meza na tutakayemuapisha mtashangaa na kutafuta pa kujifichia, endelezeni tu matusi na kejeli kwa sababu sasa hivi Mzungu mko naye au mnaamini hivyo atleast lkn siku moja mtashangaa kama Raila anavyoshangaa, anapiga simu hakuna anayepokea, hata Obama hapokei tena, siku inakuja, nchi yetu inarudi, …

View attachment 2348015
Tuwekee na ile picha akiwa na JPM wakiwa chato na ikibidi sauti yake akidai angeitawala Kenya kama alivyotawala dictator JPM
 
Waafrika kila kitu tunampakazia mzungu...
Umasikini
Upungufu wa nguvu za kiume
Ufala
Uzwazwa
Kila kitu mzungu tu.
Sasa mkuu ulitaka waingulie uchaguz wa kenya?
Hatutaki kuchukua responsibility ya matatizo yetu.
 
Hakuna mtu alikuwa karibu na Mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya Mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni Cousin yake, lakini siku imefika na Mzungu kapindua Meza na Raila hatakiwi tena, najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba Mzungu kabadilika na kaenda na Ruto.

Hata hapa TZ inakuja, mtampapatikia Mzungu mnavyoweza, mtacheza Movie zote lakini siku moja atapindua Meza na tutakayemuapisha mtashangaa na kutafuta pa kujifichia.

Endelezeni tu matusi na kejeli kwa sababu sasa hivi Mzungu mko naye au mnaamini hivyo atleast siku moja mtashangaa kama Raila anavyoshangaa, anapiga simu hakuna anayepokea, hata Obama hapokei tena, siku inakuja, nchi yetu inarudi, …

View attachment 2348015
Hivi hizi chaguzi ni kwa minajili ya kumfaidiaha Mzungu au kwa ajili ya maendeleo yetu?

Mindset zetu zimerogwa mahala
 
Naona wananchi wameamua tu yeyeto tu SAwa maana Hakuna kitakachobadilika hata akiingia mwingine.
 
Siyo rahisi kupindua ya Tanzania [emoji1241] wewe, acha utoto!
Kenya ni mfumo wa kibepari!
Ndio maana wenye nazo wanafanya wapendavyo na wengi wao ni wazungu na wahindi wa UK [emoji636]!
 
Back
Top Bottom