Mzungu hana rafiki, kapindua meza Kenya ipo siku atapindua meza Tanzania!

Tuwekee na ile picha akiwa na JPM wakiwa chato na ikibidi sauti yake akidai angeitawala Kenya kama alivyotawala dictator JPM
 
Waafrika kila kitu tunampakazia mzungu...
Umasikini
Upungufu wa nguvu za kiume
Ufala
Uzwazwa
Kila kitu mzungu tu.
Sasa mkuu ulitaka waingulie uchaguz wa kenya?
Hatutaki kuchukua responsibility ya matatizo yetu.
 
Hivi hizi chaguzi ni kwa minajili ya kumfaidiaha Mzungu au kwa ajili ya maendeleo yetu?

Mindset zetu zimerogwa mahala
 
Tukiweza kuacha kulaumu wengine na kuanza kujilaumu wenyewe tutafika mbali sana
 
Naona wananchi wameamua tu yeyeto tu SAwa maana Hakuna kitakachobadilika hata akiingia mwingine.
 
Siyo rahisi kupindua ya Tanzania [emoji1241] wewe, acha utoto!
Kenya ni mfumo wa kibepari!
Ndio maana wenye nazo wanafanya wapendavyo na wengi wao ni wazungu na wahindi wa UK [emoji636]!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…