Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Whites are more serious on that,wao kwao hiyo ni biashara wanakuwa kikundi wapo room na laptop zao na ndiyo kazi yao, na sio waafrika tu wanawafanyia hivyo hata wao kwa wao pia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Hii kitu naifahamu ipo ila si kwa wote, time will tell...thanks for your concern though
 

Maskini ya Mungu..pole kaka! Mwanaume unawaza kutambiwa?? [emoji23][emoji23] sio kosa lako lakini.
 

Halafu kumbe sijakwambia! Amerudi bwana[emoji23][emoji23][emoji23] alipata katatizo kadogo.
 
Okey... Kwa hiyo kumrekodi mtu kisha kumsambaza kuna tofauti gani na kumbebesha sembe
Usiruhusu simu kwenye 6×6 , pia mtu asikae na you're nudes maana hisia hubadilika leo marafiki kesho maadui na ndiyo anazitumia kukuattack, waliovujishiwa wengi ni kutokana na kumwamini binadamu mwenzako kupitiliza na mtu kutaka kufidia gharama alizotumia kwako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Good...hata huko kwenye ngozi nyeupe kuna ABCs za ku-play safe
 

Hongera kwa jamaa kurudi.

Ushauri wangu; hakikisha unaliwakilisha taifa vizuri ili iwe njia kwa mabinti wengine wa Kitanzania.

Kwenye mpira, michezo mingine, uchumi, elimu kote tumefeli, tunaomba kwenye hilo utuwakilishe vilivyo.
 
Kwa muda huu mfupi nineona ni mtu poa tu naomba Mungu aendelee hivi hivi tu.
Norway aah nchi poa sana, Scandnavian wote wako poa. DENMARK, SWEDEN, NORWAY.
Hata washkaji nawashauri, ukitaka demu jaribu hizo nchi, utafurahi na nchi nyingine ni FINLAND wako poa sana.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilikuwa najiona MBILIKIMO maana wale watu ni Warefu kwelikweli.
 
Hongera kwa jamaa kurudi.

Ushauri wangu; hakikisha unaliwakilisha taifa vizuri ili iwe njia kwa mabinti wengine wa Kitanzania.

Kwenye mpira, michezo mingine, uchumi, elimu kote tumefeli, tunaomba kwenye hilo utuwakilishe vilivyo.

Hahaha thanks bro! Ntawawakilisha kwa tabia njema ili ile sifa mbaya kua waafrica ni miyeyusho iwatoke
 

Unaposema usipoteze muda unamaanisha nini? Au kuna mwingine anakuhitaji na wewe unashindwa kuji commit sababu ulishaingia kwa huyu?

Huyo ni binadamu na huwezi kujua kimempata nini, usiumie wala usimuwazie mabaya.... Mnaweza kuwa hamjawahi kuonana ndio maana humuelewi vizuri; na unawezakuta alikua na mahusiano mengine bado anasortout mambo yake/ unaweza kuta ana shida za kisaikolojia inapokuja swala la mahusiano haswa kukutana na watu wapya/ anaweza kuwa mgonjwa na hii omicron sio mchezo/Unaweza kuta sio mtu sahihi kwenye maisha yako na Mungu ameacha iishie hapo...

Kama unaamini mahusiano yako na Mungu yatakupa mahusiano bora na mtu sahihi basi wala usiwaze, wewe endelea kujiuguza
 

Scandnavian countries wamestaarabika halafu wana ka utulivu flan sio nchi mapepe km za US na zenye ubaguzi wa kishenz shenzi...huyu jamaa ni mrefu pia aliniambia ana 184cm sasa mimi am sure ntakua joti bila shaka[emoji23]
 

Atulize kitu gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…