Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Relax huenda hayuko karibu na simu au amepata tatizo akirudi online atakutafuta

Asante kwa ushauri mzuri, alipata tatizo kweli alivunja screen ya cm yake weekend hii so according to him alikua anapata notifivcation ila hawez kujibu...amenitafuta mara baada ya kununua simu nyingine:
 
Hongera sana kwa kupata rafiki anayekujali! Mjali pia, mtunze, mthamini, usimuumize kwa namna yoyote ile. Ushauri wangu kwako, nadhani usikae bure!!! Endelea kum"text" hata kama hajibu! Onesha wasiwasi wako juu ya ukimya wake, mwambie ukimya wake umekuwa msumali wa moto kwako, unakutesa, unakunyima amani! Mwambie toka mmeanza urafiki amekuwa sehemu yako! Akiumwa, unaumwa! Muulize, Umepatwa na nini? Mwambie katika lolote analopitia, unamwombea aweze toka kwenye hali hiyo!! Narudia tena, usikae kimya!!! Hata asipokujibu, endelea kumtumia message, onesha Upendo wako kwake! Usipofanya hivyo anaweza hisi ulichojali ni pesa yake! Anaweza fikiri wewe ni mbinafsi na hukumhitaji maishani mwako!

Thanks a lot my dear, i tried to reach him hata kwa simu ya kawaida kumbe shida ni alipasua screen ya simu yake hivyo alikua hata akipata notification hawez kufanya chochote simu ilijaa wino...I was really worried about him for sure na nimefurahi sana to hear from him again...Mungu ni mwema...nashukuru kwa ushauri wako.
 
Ulikuwa na pressure tu, binafsi sikuona hata jambo la kutilia wasiwasi...siku mbili tu!

Sababu haikua kawaida yake, halaf namna nilivyopata ajali ilinifanya nikawa sijiamini kabisa na last time aliniaga anaenda nje for a walk...ilikua ni weekend ajali ni nyingi..nikikumbuka ile ajali yangu niliipata lisaa limoja tu baada ya kuwasiliana nae nikaona chochote kinaweza kutokea kwa wakati wowote.
 
Back
Top Bottom