Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Usikute alikuwa ans date human traffickers atakujs nyonywa macho shauri zake[emoji1787][emoji2]Acha dating na watu usiowajua, watu ambao asimilimia za kukufanyia unyama ni nyingi kuliko upendo wa kweli.
Hivi kweli mtu mnaweza pendana kindezi namna hiyo kupitia mitandao tu, bora ingekua kitambo tena kipindi hiki ambacho ulaghai ni mwingi.
Kua makini, kaa chingo huenda unatengenezwa. Hatokuja yeye ila atakutaka wewe uende.