- Thread starter
- #281
Haha au sio! Haya good luck ukawakilishe taifa vema.
[emoji23][emoji23]thanks bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha au sio! Haya good luck ukawakilishe taifa vema.
Huu mwandiko si wa mtu wa miaka 20+Habari za leo wanajamvi!
Nimeona nilete hili jambo kwenu labda nitapata msaada wa mawazo na ushauri wenu ili nielewenini nifanye.
Mimi ni binti wa mid 20's km unavyojua kila mtu hua na malengo yake katika maisha basi na ana machaguo yake katika maisha km ambavyo mtu anapendelea mwanamke mwenye shape nzuri, au macho mazuri au sura nzuri, vivyo hivyo baadhi ya mabinti hupenda wanaume warefu mara wenye hela basi mimi ni binti nnaependa kudate na ngozi nyeupe (wazungu) ila si vile vibabu vya kizungu[emoji23].
Well, km ijulikanavyo huwez kupata kitu km hukifanyii efforts so nilikiunga na dating sites kadhaa katika one of the dating site nikakutana na kijana mmoja wa umri wa miaka 31 kutoka nchini Norway, huyu hakua kijana pekee niliewah kukutana nae ila wengi hawakuonyesha userious so na mm sikutaka kuwa entertain till nilivyoanza kuchat na kijana huyu, mwanzo alionyesha ukawaida km wengine so ckumtilia maanani sana ila ndani ya muda mfupi tu wa kuchat km week1 alionyesha km ana ka userious flan km kujibu txt ontime, kutoomba nudes (picha za utupu), kutaka kunijua kiundani na kufikia maamuzi ya kuomba if I can be his girlfriend of which I accepeted..alipanga aje nchini mwishon wa mwez huu na alishakata flight ya tarehe hizo za mwishon na hii ni only after 2 weeks of knowing each other, well niliona km things are going too fast ila sikuichukulia in negative way sababu mapenzi hayanaga formula.
Week 2 baada ya kua tunachat nae every day nilipata minor accident iliyonipelekea kuvunjika vidole vyangu vitatu vya mguu nikafungwa P.O.P (hogo) nikamtaarifu kua nimeumia na kumtumia picha swali la kwanza ni aliniuliza "Do you have western union?" Nikamjibu sina akaniuliza unaweza kutumia njia gani kupokea heka kutoka abroad nikamwambia ngoja niulize maana kiukweli nilikua sijui ndio one of my friend akaniambia nitumie "Worldremit" baada ya kumtumia hiyo app alishangaa maana hakuwahi kuitumia before ila aliidownload na akawa ananitumia screenshot kila hatua ili aweze kufill details zangu...baada ya dakika km mbili simu yangu ilisoma nimepokea laki7 za kitanzania kutoka kwake nilimshukuru kwa kweli ukizingatia sikumuomba ile hela na wala sikua na wazo hilo..aliniambia zitanisaidia kwa transport fees baada ya kujua sina personal car.
Tukawa tunaendelea kuchat by the time alikua na likizo za sikukuu za Christmas and new year so muda mwingi alikua online, he seems like he is an introvert masna kwenye video call hua ni km aina ya mtu anaeishiwa maongez though ni mchatiji mzuri, aliniuliza nacope vp hali ya kuwa nyumban mda wote wakat niko na ile P.O.P nikamjib kawaida tu sina jinsi inabid nitulie akaniuliza km nchini kwetu tuna Netflix nikamjibu ndio ila sikua na account akanitumia details za his personal account means user name yake na password yake na na akaniambia " do not freak out there is another girl using my account but thats my sister" so tulikua tunatumia hiyo accout mimi, yeye na huyo user mwingine ambae sikufatilia sana kumjua as long as alishaniambia ni dada yake..akanitumia kias kingine nijiunge na unlimited internet ili nisiwe bored.
Tuliendelea kuchat mpk alipomaliza likizo ya kaz na alivyoanza kazi, well mawasiliano yalipungua sio chatting za muda wote ila nilielewa sababu ya ubusy, ila lazima atatuma txt mara tu baada ya kutoka kazini mtachat au kuongea kidogo ndio atalala.
Juzi ndio ulikua mwisho wa mimi kuchati nae na our last conversation..aliniambia anatoka mara moja kutembea sababu amekaa ndan muda mrefu and he asked me how was my leg? Nilimjibu ila text ile haijafunguliwa mpk leo
Txt inadelever ila in grey tick which means haijafunguliwa, his last seen inaonyesha muda ule ule ambao tulichat mara ya mwisho so ni km hajaingia online tena, ila txt zinafika hofu yangu ni kua ya Mungu ni mengi amepata tatizo labda au? Maana siwez kujump kwenye bad conlclusion maybe amepata tatizo ila txt zinadeliver sena hazijafunguliwa tu na hajaingia online...ameamua kuquit mahusiano au? But hatujapishana kwa lolote au ni mimk ndie nina overthink?
His netflix account still works to me here, sijatuma txt nyingi sababu sion point ya kutuma txt wakati za mwanzo hazijajibiwa na hayuko online...je kwa wengine ishawahi watokea kitu km hii? Ina uwezekano akawa yuko busy sana? Isije nikasubiri meli wakati niko airport..Ndio masna nikaja hapa sababu ya ushauri wenu na mitazsmo yenu inaweza nisaidia.
I have developed some feelings for him honest speaking ila ni vyema nikajua niko position gani kwa sasa ili nisipoteze muda na hisia kwa mtu ambae labda si km nimfikiriavyo au nijaribu kumpigia kwa simu ya kawaida?
What do u think I should do guys? Au nisubiri tu nione itakuaje?
Kweli dada mwambie ulimmiss sana shemeji yetu... Atume chochote kitu januari ngumuAsanteni wote kwa ushauri wenu mzuri...amenitafuta jioni hii akasema alivunja screen ya simu yake na app zake hajaziconnect na computer na honest speaking hakua na namba yangu kichwani so hakua aikweza kufanya chchote na simu yake while anasikia notification zote.
Leo hii ndio kanunua simu nyingine and he send new box and a mirror selfie of his new phone so niweze kumuamini..i choose to beleive him for this, asanteni my dear.
Adui yako muombee njaa. Kukosekana hewani kidogo tu kashachanganyikiwa dada wa watu. Akimwambi its over itakuwaje.Cha kwanza nilichokiona tu kwako una tatizo la njaa kwenye mahusiano sio rahisi kwa mtu wa kawaida kukwambia hilo ila most girls wanaowinda wazungu huwa ni sababu ya njaa tu na si kingine. Cha pili tuliza mshono.
Huyo jamaa atakutafuta tu usioneshe kuwa demanding sana huwa mambo yanaendaga smooth tu!
Atume tena na ya kutolea upendo uzidi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa muda huu mfupi nineona ni mtu poa tu naomba Mungu aendelee hivi hivi tu.
[emoji38][emoji38][emoji38]Kweli dada mwambie ulimmiss sana shemeji yetu... Atume chochote kitu januari ngumu
Mkuu jiandae kujibu vichambo[emoji3][emoji3][emoji3] Kutumiwa laki 7 alafu ghafla sponsor kakata mawasiliano mchezo.. Binti angeenda mpaka ubaloziNjaa njaa njaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Binti una njaa kali sana
Hannah tulia. Mfariji mtoa mada.Fikiria unachomwa na jua hadi unasikia harufu ya nyama choma, halafu unaona watu wana drive tu ndinga kali kali barabarani halafu watoto wadogo. Hadi unajiuliza kama binadamu wote ni sawa[emoji23][emoji23].
Fursa ikitokea ni kuchangamkia tu, kisa cha kuzeeka mapema ni nini? Yaani binti wa miaka 25 anakuwa kama mama wa miaka 40 na wakati ana namna ya kurahisisha maisha[emoji23]
Hongera sana kwa kupata rafiki anayekujali! Mjali pia, mtunze, mthamini, usimuumize kwa namna yoyote ile. Ushauri wangu kwako, nadhani usikae bure!!! Endelea kum"text" hata kama hajibu! Onesha wasiwasi wako juu ya ukimya wake, mwambie ukimya wake umekuwa msumali wa moto kwako, unakutesa, unakunyima amani! Mwambie toka mmeanza urafiki amekuwa sehemu yako! Akiumwa, unaumwa! Muulize, Umepatwa na nini? Mwambie katika lolote analopitia, unamwombea aweze toka kwenye hali hiyo!! Narudia tena, usikae kimya!!! Hata asipokujibu, endelea kumtumia message, onesha Upendo wako kwake! Usipofanya hivyo anaweza hisi ulichojali ni pesa yake! Anaweza fikiri wewe ni mbinafsi na hukumhitaji maishani mwako!Habari za leo wanajamvi!
Nimeona nilete hili jambo kwenu labda nitapata msaada wa mawazo na ushauri wenu ili nielewenini nifanye.
Mimi ni binti wa mid 20's km unavyojua kila mtu hua na malengo yake katika maisha basi na ana machaguo yake katika maisha km ambavyo mtu anapendelea mwanamke mwenye shape nzuri, au macho mazuri au sura nzuri, vivyo hivyo baadhi ya mabinti hupenda wanaume warefu mara wenye hela basi mimi ni binti nnaependa kudate na ngozi nyeupe (wazungu) ila si vile vibabu vya kizungu[emoji23].
Well, km ijulikanavyo huwez kupata kitu km hukifanyii efforts so nilikiunga na dating sites kadhaa katika one of the dating site nikakutana na kijana mmoja wa umri wa miaka 31 kutoka nchini Norway, huyu hakua kijana pekee niliewah kukutana nae ila wengi hawakuonyesha userious so na mm sikutaka kuwa entertain till nilivyoanza kuchat na kijana huyu, mwanzo alionyesha ukawaida km wengine so ckumtilia maanani sana ila ndani ya muda mfupi tu wa kuchat km week1 alionyesha km ana ka userious flan km kujibu txt ontime, kutoomba nudes (picha za utupu), kutaka kunijua kiundani na kufikia maamuzi ya kuomba if I can be his girlfriend of which I accepeted..alipanga aje nchini mwishon wa mwez huu na alishakata flight ya tarehe hizo za mwishon na hii ni only after 2 weeks of knowing each other, well niliona km things are going too fast ila sikuichukulia in negative way sababu mapenzi hayanaga formula.
Week 2 baada ya kua tunachat nae every day nilipata minor accident iliyonipelekea kuvunjika vidole vyangu vitatu vya mguu nikafungwa P.O.P (hogo) nikamtaarifu kua nimeumia na kumtumia picha swali la kwanza ni aliniuliza "Do you have western union?" Nikamjibu sina akaniuliza unaweza kutumia njia gani kupokea heka kutoka abroad nikamwambia ngoja niulize maana kiukweli nilikua sijui ndio one of my friend akaniambia nitumie "Worldremit" baada ya kumtumia hiyo app alishangaa maana hakuwahi kuitumia before ila aliidownload na akawa ananitumia screenshot kila hatua ili aweze kufill details zangu...baada ya dakika km mbili simu yangu ilisoma nimepokea laki7 za kitanzania kutoka kwake nilimshukuru kwa kweli ukizingatia sikumuomba ile hela na wala sikua na wazo hilo..aliniambia zitanisaidia kwa transport fees baada ya kujua sina personal car.
Tukawa tunaendelea kuchat by the time alikua na likizo za sikukuu za Christmas and new year so muda mwingi alikua online, he seems like he is an introvert masna kwenye video call hua ni km aina ya mtu anaeishiwa maongez though ni mchatiji mzuri, aliniuliza nacope vp hali ya kuwa nyumban mda wote wakat niko na ile P.O.P nikamjib kawaida tu sina jinsi inabid nitulie akaniuliza km nchini kwetu tuna Netflix nikamjibu ndio ila sikua na account akanitumia details za his personal account means user name yake na password yake na na akaniambia " do not freak out there is another girl using my account but thats my sister" so tulikua tunatumia hiyo accout mimi, yeye na huyo user mwingine ambae sikufatilia sana kumjua as long as alishaniambia ni dada yake..akanitumia kias kingine nijiunge na unlimited internet ili nisiwe bored.
Tuliendelea kuchat mpk alipomaliza likizo ya kaz na alivyoanza kazi, well mawasiliano yalipungua sio chatting za muda wote ila nilielewa sababu ya ubusy, ila lazima atatuma txt mara tu baada ya kutoka kazini mtachat au kuongea kidogo ndio atalala.
Juzi ndio ulikua mwisho wa mimi kuchati nae na our last conversation..aliniambia anatoka mara moja kutembea sababu amekaa ndan muda mrefu and he asked me how was my leg? Nilimjibu ila text ile haijafunguliwa mpk leo
Txt inadelever ila in grey tick which means haijafunguliwa, his last seen inaonyesha muda ule ule ambao tulichat mara ya mwisho so ni km hajaingia online tena, ila txt zinafika hofu yangu ni kua ya Mungu ni mengi amepata tatizo labda au? Maana siwez kujump kwenye bad conlclusion maybe amepata tatizo ila txt zinadeliver sena hazijafunguliwa tu na hajaingia online...ameamua kuquit mahusiano au? But hatujapishana kwa lolote au ni mimk ndie nina overthink?
His netflix account still works to me here, sijatuma txt nyingi sababu sion point ya kutuma txt wakati za mwanzo hazijajibiwa na hayuko online...je kwa wengine ishawahi watokea kitu km hii? Ina uwezekano akawa yuko busy sana? Isije nikasubiri meli wakati niko airport..Ndio masna nikaja hapa sababu ya ushauri wenu na mitazsmo yenu inaweza nisaidia.
I have developed some feelings for him honest speaking ila ni vyema nikajua niko position gani kwa sasa ili nisipoteze muda na hisia kwa mtu ambae labda si km nimfikiriavyo au nijaribu kumpigia kwa simu ya kawaida?
What do u think I should do guys? Au nisubiri tu nione itakuaje?
Kweli dada mwambie ulimmiss sana shemeji yetu... Atume chochote kitu januari ngumu
Adui yako muombee njaa. Kukosekana hewani kidogo tu kashachanganyikiwa dada wa watu. Akimwambi its over itakuwaje.
Atume tena na ya kutolea upendo uzidi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Njaa njaa njaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Binti una njaa kali sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] binamu bananga huwa anasema 'kama njaa nzuri, kaa nayo wewe'Asante kwa wewe ulieshiba[emoji23]
Mkuu jiandae kujibu vichambo[emoji3][emoji3][emoji3] Kutumiwa laki 7 alafu ghafla sponsor kakata mawasiliano mchezo.. Binti angeenda mpaka ubalozi
Au tumpeleke ubalozi wake ashughulikiwe[emoji3][emoji3][emoji3] Sema asishtukie unampiga yani Vumilia tu dada ukute ndo mume kweliHahahaha au sio kaka rikiboy[emoji23][emoji23]
mbona makasiriko wanaume kisa kapelka mbususu kwa mzungu na katuacha kina juma hapa na genye zetu