Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
you have my respect kaka mkubwa, nimekukosa halafu..!Funguka mdada, umetumia C++ kuleta hoja yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you have my respect kaka mkubwa, nimekukosa halafu..!Funguka mdada, umetumia C++ kuleta hoja yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila asilimia kubwa ndio tabia zao kufukua mitaro jiandae kisaikolojiaAsante jwa ushauri pia ila si kila wazungu wanawazaga marinda tu hiyo ni tabia ya mrmtu ndio masna hata kuna kaka zangu wa nchini wanafanya hiyo michezo.
Mimi pia nimekukosq sana my mdogo, hope umeuanza mwaka vizuri kabisa. Japo umepiga codes za nguvu kwenye post yako.you have my respect kaka mkubwa, nimekukosa halafu..!
Daah we jamaaOne of the key lessons this life offers is " Nothing is permanent". Move on sister,your expectations will push you into more pain and disppointment. He was there for you and now you are no longer a priority. Accept is in your heart and look for other options. Life is never short of goof men. Pole sana dada.
Inatuma Kwa kampuni karibu zote,Mtu wa nje anatumia kutuma pesa bongo na inafika kupitia Tigopesa kama nakumbuka vizuri.
Bibie huna subira na hutaki kupoteza muda? Tafuta mwingine basi.Habari za leo wanajamvi!
Nimeona nilete hili jambo kwenu labda nitapata msaada wa mawazo na ushauri wenu ili nielewenini nifanye.
Mimi ni binti wa mid 20's km unavyojua kila mtu hua na malengo yake katika maisha basi na ana machaguo yake katika maisha km ambavyo mtu anapendelea mwanamke mwenye shape nzuri, au macho mazuri au sura nzuri, vivyo hivyo baadhi ya mabinti hupenda wanaume warefu mara wenye hela basi mimi ni binti nnaependa kudate na ngozi nyeupe (wazungu) ila si vile vibabu vya kizungu[emoji23].
Well, km ijulikanavyo huwez kupata kitu km hukifanyii efforts so nilikiunga na dating sites kadhaa katika one of the dating site nikakutana na kijana mmoja wa umri wa miaka 31 kutoka nchini Norway, huyu hakua kijana pekee niliewah kukutana nae ila wengi hawakuonyesha userious so na mm sikutaka kuwa entertain till nilivyoanza kuchat na kijana huyu, mwanzo alionyesha ukawaida km wengine so ckumtilia maanani sana ila ndani ya muda mfupi tu wa kuchat km week1 alionyesha km ana ka userious flan km kujibu txt ontime, kutoomba nudes (picha za utupu), kutaka kunijua kiundani na kufikia maamuzi ya kuomba if I can be his girlfriend of which I accepeted..alipanga aje nchini mwishon wa mwez huu na alishakata flight ya tarehe hizo za mwishon na hii ni only after 2 weeks of knowing each other, well niliona km things are going too fast ila sikuichukulia in negative way sababu mapenzi hayanaga formula.
Week 2 baada ya kua tunachat nae every day nilipata minor accident iliyonipelekea kuvunjika vidole vyangu vitatu vya mguu nikafungwa P.O.P (hogo) nikamtaarifu kua nimeumia na kumtumia picha swali la kwanza ni aliniuliza "Do you have western union?" Nikamjibu sina akaniuliza unaweza kutumia njia gani kupokea heka kutoka abroad nikamwambia ngoja niulize maana kiukweli nilikua sijui ndio one of my friend akaniambia nitumie "Worldremit" baada ya kumtumia hiyo app alishangaa maana hakuwahi kuitumia before ila aliidownload na akawa ananitumia screenshot kila hatua ili aweze kufill details zangu...baada ya dakika km mbili simu yangu ilisoma nimepokea laki7 za kitanzania kutoka kwake nilimshukuru kwa kweli ukizingatia sikumuomba ile hela na wala sikua na wazo hilo..aliniambia zitanisaidia kwa transport fees baada ya kujua sina personal car.
Tukawa tunaendelea kuchat by the time alikua na likizo za sikukuu za Christmas and new year so muda mwingi alikua online, he seems like he is an introvert masna kwenye video call hua ni km aina ya mtu anaeishiwa maongez though ni mchatiji mzuri, aliniuliza nacope vp hali ya kuwa nyumban mda wote wakat niko na ile P.O.P nikamjib kawaida tu sina jinsi inabid nitulie akaniuliza km nchini kwetu tuna Netflix nikamjibu ndio ila sikua na account akanitumia details za his personal account means user name yake na password yake na na akaniambia " do not freak out there is another girl using my account but thats my sister" so tulikua tunatumia hiyo accout mimi, yeye na huyo user mwingine ambae sikufatilia sana kumjua as long as alishaniambia ni dada yake..akanitumia kias kingine nijiunge na unlimited internet ili nisiwe bored.
Tuliendelea kuchat mpk alipomaliza likizo ya kaz na alivyoanza kazi, well mawasiliano yalipungua sio chatting za muda wote ila nilielewa sababu ya ubusy, ila lazima atatuma txt mara tu baada ya kutoka kazini mtachat au kuongea kidogo ndio atalala.
Juzi ndio ulikua mwisho wa mimi kuchati nae na our last conversation..aliniambia anatoka mara moja kutembea sababu amekaa ndan muda mrefu and he asked me how was my leg? Nilimjibu ila text ile haijafunguliwa mpk leo
Txt inadelever ila in grey tick which means haijafunguliwa, his last seen inaonyesha muda ule ule ambao tulichat mara ya mwisho so ni km hajaingia online tena, ila txt zinafika hofu yangu ni kua ya Mungu ni mengi amepata tatizo labda au? Maana siwez kujump kwenye bad conlclusion maybe amepata tatizo ila txt zinadeliver sena hazijafunguliwa tu na hajaingia online...ameamua kuquit mahusiano au? But hatujapishana kwa lolote au ni mimk ndie nina overthink?
His netflix account still works to me here, sijatuma txt nyingi sababu sion point ya kutuma txt wakati za mwanzo hazijajibiwa na hayuko online...je kwa wengine ishawahi watokea kitu km hii? Ina uwezekano akawa yuko busy sana? Isije nikasubiri meli wakati niko airport..Ndio masna nikaja hapa sababu ya ushauri wenu na mitazsmo yenu inaweza nisaidia.
I have developed some feelings for him honest speaking ila ni vyema nikajua niko position gani kwa sasa ili nisipoteze muda na hisia kwa mtu ambae labda si km nimfikiriavyo au nijaribu kumpigia kwa simu ya kawaida?
What do u think I should do guys? Au nisubiri tu nione itakuaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mambo bana ukichukulia seriaz waeza lia aisee[emoji28] kuna pimbi moja iko Belgium iliwahi kuniweka kwa hii plan nikaona kweli Yesu ni mwokozi wa Maisha yangu!
Tumepitia mengi kama taifa!!!
Huu ubaharia hatujaanza ghafla ni baada ya mafunzo makali😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka vibaya...Ilikufanyaje Extro?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu ubaharia hatujaanza ghafla ni baada ya mafunzo makali[emoji28]
Hio pisi ilikuwa weekend haipatikani ila kuanzia j3 ndio mnaweza pata kuongea.
World remit kwenda Tigo PesaHiyo world Remit mbona kwenye nchi zilizo kwenye orodha Tanzania haimo
Upo kwa your mid 20'sHabari za leo wanajamvi!
Nimeona nilete hili jambo kwenu labda nitapata msaada wa mawazo na ushauri wenu ili nielewenini nifanye.
Mimi ni binti wa mid 20's km unavyojua kila mtu hua na malengo yake katika maisha basi na ana machaguo yake katika maisha km ambavyo mtu anapendelea mwanamke mwenye shape nzuri, au macho mazuri au sura nzuri, vivyo hivyo baadhi ya mabinti hupenda wanaume warefu mara wenye hela basi mimi ni binti nnaependa kudate na ngozi nyeupe (wazungu) ila si vile vibabu vya kizungu[emoji23].
Well, km ijulikanavyo huwez kupata kitu km hukifanyii efforts so nilikiunga na dating sites kadhaa katika one of the dating site nikakutana na kijana mmoja wa umri wa miaka 31 kutoka nchini Norway, huyu hakua kijana pekee niliewah kukutana nae ila wengi hawakuonyesha userious so na mm sikutaka kuwa entertain till nilivyoanza kuchat na kijana huyu, mwanzo alionyesha ukawaida km wengine so ckumtilia maanani sana ila ndani ya muda mfupi tu wa kuchat km week1 alionyesha km ana ka userious flan km kujibu txt ontime, kutoomba nudes (picha za utupu), kutaka kunijua kiundani na kufikia maamuzi ya kuomba if I can be his girlfriend of which I accepeted..alipanga aje nchini mwishon wa mwez huu na alishakata flight ya tarehe hizo za mwishon na hii ni only after 2 weeks of knowing each other, well niliona km things are going too fast ila sikuichukulia in negative way sababu mapenzi hayanaga formula.
Week 2 baada ya kua tunachat nae every day nilipata minor accident iliyonipelekea kuvunjika vidole vyangu vitatu vya mguu nikafungwa P.O.P (hogo) nikamtaarifu kua nimeumia na kumtumia picha swali la kwanza ni aliniuliza "Do you have western union?" Nikamjibu sina akaniuliza unaweza kutumia njia gani kupokea heka kutoka abroad nikamwambia ngoja niulize maana kiukweli nilikua sijui ndio one of my friend akaniambia nitumie "Worldremit" baada ya kumtumia hiyo app alishangaa maana hakuwahi kuitumia before ila aliidownload na akawa ananitumia screenshot kila hatua ili aweze kufill details zangu...baada ya dakika km mbili simu yangu ilisoma nimepokea laki7 za kitanzania kutoka kwake nilimshukuru kwa kweli ukizingatia sikumuomba ile hela na wala sikua na wazo hilo..aliniambia zitanisaidia kwa transport fees baada ya kujua sina personal car.
Tukawa tunaendelea kuchat by the time alikua na likizo za sikukuu za Christmas and new year so muda mwingi alikua online, he seems like he is an introvert masna kwenye video call hua ni km aina ya mtu anaeishiwa maongez though ni mchatiji mzuri, aliniuliza nacope vp hali ya kuwa nyumban mda wote wakat niko na ile P.O.P nikamjib kawaida tu sina jinsi inabid nitulie akaniuliza km nchini kwetu tuna Netflix nikamjibu ndio ila sikua na account akanitumia details za his personal account means user name yake na password yake na na akaniambia " do not freak out there is another girl using my account but thats my sister" so tulikua tunatumia hiyo accout mimi, yeye na huyo user mwingine ambae sikufatilia sana kumjua as long as alishaniambia ni dada yake..akanitumia kias kingine nijiunge na unlimited internet ili nisiwe bored.
Tuliendelea kuchat mpk alipomaliza likizo ya kaz na alivyoanza kazi, well mawasiliano yalipungua sio chatting za muda wote ila nilielewa sababu ya ubusy, ila lazima atatuma txt mara tu baada ya kutoka kazini mtachat au kuongea kidogo ndio atalala.
Juzi ndio ulikua mwisho wa mimi kuchati nae na our last conversation..aliniambia anatoka mara moja kutembea sababu amekaa ndan muda mrefu and he asked me how was my leg? Nilimjibu ila text ile haijafunguliwa mpk leo
Txt inadelever ila in grey tick which means haijafunguliwa, his last seen inaonyesha muda ule ule ambao tulichat mara ya mwisho so ni km hajaingia online tena, ila txt zinafika hofu yangu ni kua ya Mungu ni mengi amepata tatizo labda au? Maana siwez kujump kwenye bad conlclusion maybe amepata tatizo ila txt zinadeliver sena hazijafunguliwa tu na hajaingia online...ameamua kuquit mahusiano au? But hatujapishana kwa lolote au ni mimk ndie nina overthink?
His netflix account still works to me here, sijatuma txt nyingi sababu sion point ya kutuma txt wakati za mwanzo hazijajibiwa na hayuko online...je kwa wengine ishawahi watokea kitu km hii? Ina uwezekano akawa yuko busy sana? Isije nikasubiri meli wakati niko airport..Ndio masna nikaja hapa sababu ya ushauri wenu na mitazsmo yenu inaweza nisaidia.
I have developed some feelings for him honest speaking ila ni vyema nikajua niko position gani kwa sasa ili nisipoteze muda na hisia kwa mtu ambae labda si km nimfikiriavyo au nijaribu kumpigia kwa simu ya kawaida?
What do u think I should do guys? Au nisubiri tu nione itakuaje?
Sa nifanyaje jamani mateso bila chuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weekend alikuwa anakuwa na MY wake...Na wewe ukawa unangangania tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Etii...
Kwahiyo dada hutaki kuliwa kimasihara na mwanaume mweusi.
We unataka kuliwa na wazungu tu??
#YNWA
Ila kitu nimegundua walaqhi' hakuna watu bitter na wanafque kama baadhi ya wabongo wenzetu, Mungu atusaidie tu hakika doh'..!![emoji119]