- Thread starter
- #221
Usiwe na wasiwasi, kama utaweza kumtumia normal text itakuwa vizuri.
Ninachojua hawa jamaa kama kuna namna hakuelewi anakuambia straight na uhusiano unakufa, hawarembi kama sisi na unafiki wetu.
Yeah hilo nimelisoma kutoka kwao! Since mwanzo nilikua makini kulijua hilo kbl sijaingia kichwa kichwa na sikutaka kutumia effort yyt kumfanya awe interested so am sure your right mgoja nitajaribu kumtafuta kawaida.