Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?


Well shukrani kwa maelezo mazuri after all am not that type of a girl, I always dance according to the beat ndio maana nilitaka kujua where should I stand...I was worried sababu the last thing he asked about was my well being, thats mean he needed a reply as he always do then he dissapeared na si kawaida yake angekua amekaa kimya tu bila sababu nisingesumbuka nae! Kuhusu sijui huwez kua na mtu asiekuongezea hata unit 2 za luku sasa unakaa nae wa nn km ww unachotaka ni kuongezewa unit za luku? Au niseme ww ndio uchaguzi wako mbovu unazoa mtu ambae hana addition yyt katika maisha yako the answer is simple[emoji28]

Kutoingia online sijui mara kuzima data ndio usome ili ajue hujasoma naona ni km utumwa u better be specific to her km hatakuelewa then obviously you guys don't match.

Huwez kuwaita wanaopenda kwa moyo ni idiots kisa ww uko tofauti nao ukajihisi una akili kubwa sababu hicho ndicho kinachowapa amani, just respect na ujue tu your just contrary to them sababu hata wao pia wanakuona wewe ni some sort of idiot pia sababu kuna very successful people ambao hutaweza kuwafikia mpk unakufa wanapenda kwa moyo so my point here is respect others decision while stand to your rules.

Thanks for the good advice I never pushed and he is just doing well.
 
That's the way of saying "what should come first, and work always comes first"
Kutoingia online sijui mara kuzima data ndio usome ili ajue hujasoma naona ni km utumwa u better be specific to her km hatakuelewa then obviously you guys don't match.
Come on, usitake kusema huwa hamtumii blue tick kama hukumu... ndo maana nilikuambia mapema "can you handle the fact"? Hiyo ndo fact! Don't think grey tick always means the message is unread!
Again, that's why nilikuuliza mapema "can you handle the fact.... seems like you can't", ndo maana umekimbilia kusema huenda najichukulia nina akili kubwa na wengine hawana akili!

That has nothing to do with kuwa na akili kubwa BUT AKILI vs MOYO! Hivi unahitaji kuwa na akili kubwa kufahamu "s/he's wasting my time"? Ukiambiwa kutumia akili has nothing to do with one kuwa na akili kubwa bali kutokuwa tayari kuburuzwa na emotion!!

Kwanza hata wewe mwenyewe hupendi kwa kutumia moyo bali kwa kutumia akili na ndo maaana ukaamua interest yako ipo kwa watu wenye ngozi nyeupe!!

Moyo hauchagui race, kabila, or anything else... it just happens, BANG! Unajikuta umeoza kwa mtu ambae mashoga zako wote wanabaki kukushangaa!! Ukisikia mwanaume anasema "napenda mwanamke mwenye chura"... huyo haongozwi na moyo bali na akili!! Akili leads you to what makes you happy but moyo can drag you to anywhere, and more often, to tear zone!

Akili leads you to your goals, moyo can drag you away from your gals...so, yes, only idiot can allow to be dragged and get tossed anywhere by his/her heart!

And what's even worse, unaweza kukuta s/he depends on you for each and everything but still huyo huyo anayekutegemea kwa kila kitu ndiyo huyo anayekutesa kwa sababu anajua umeoza, and you surrender to him/her... unakuwa mtumwa kwake in the name of love! Dunia ya leo hayo sio mapenzi bali ni ujinga!!

So, that's another fact that I was probably supposed to wait for your response if you'd handle the fact!
Thanks for the good advice I never pushed and he is just doing well.
The first 5 words form a sentence that's a TOTAL LIE... 😂
 

It seems una trust issues, hutaki kuamini unachoambiwa ila unapenda kusikia unachoamini based on your last paragraph[emoji23]
 
It seems una trust issues, hutaki kuamini unachoambiwa ila unapenda kusikia unachoamini based on your last paragraph[emoji23]
Back to ground zero... about your readiness to handle the fact! You weren't ready, Kim! Unaonesha wazi kwamba hukuwa tayari na ndo maana unachukulia vitu too personal...

Unajua kuna aina mbalimbali za watu! Kuna wale wanaopenda kuzunguka zunguka, na kupaka paka maneno rangi, na kuna hawa hapa:-
xx
So, you may deny all you want it, Kim but the truth ni kwamba nimekukera coz' you weren't ready to handle the fact especially kutoka watu aina yangu whom, when see something is red, we'll shout IT"S RED and not Damu ya Mzee as others would opt to name it though deep inside their hearts they know it's RED!

But sometimes denying makes ourselves feel better, you know it, and I know it... so knock yourself out, Kim!!
 
Pole San atarud tu usiwe na of Wala ustume tume msg
Sisi wanawake tuna moyo wa huruma, mara unajisemea nitume sms au nisitume? Moyo unasema tuma tu moja😀😀 we acha tu tunaumizwaga sana
 
Wakati naachana na x wangu mwisho text alonitumia wasap iikuwa.

" nishaanza likizo yangu, napitia uswiss nitakuwa bongo trh 23dec.

Hii ndo ilikuwa ya mwisho yaliyofata ni maumivu.😂😂😂😂😂

Kwakuwa wako ni ngozi nyeupe wewe vulilia ipite week, uone itakuwaje.

Ila najua unachokipitia long distance relationship kills my dear.

Nilikuwa nikituma sms isipojibuwa naanza kuwa na mawazo kibao, nawaza atakuwa salama kweli? Muda wote nilokuwa na mahusiano na yule kaka it was full stress.

Kizuri chake huyu wa kwangu tuloachana, alikuwa akipiga simu tunaweza ongea 2hrs, na alikuwa mcheshi sana.nilikuwa naenjoy.


Ila dia nisikukatishe tamaa mahusiano ya mbali ni kichomi hapo ukute katoka out na mtu wake mwingine, tho na wewe anakutamani tatizo uko mbali.

Kwa sasa msubiri mpaka atakapojibu hizo sms.subiri atleast one week uone.ila dah napata picha magumu yapi unapitia, yule kaka alinifanya nikonde akiniona sasa hivi hawezi amini nilivyonona na kinawili.

All the best ila kaa na 50/50
 

Why are you forcing things which are not true?? Soma previous comments ukipata muda jaribu kupitia moja moja u can see...well, after all u don't know me ndio maana you want to feel better by thinking that u hurted me! I accept people's opinions without put my personal feelings my dear, its very hard to annoy me especially for a stranger, we differ a lot..not everyone is what u think she is.

I don't feel better with lies, but I never felt dissapointed with people's opinions...as I told u before u never dissapointed me with your opinions but what I see wewe ndio umekua dissapointed with me sababu u expected to be the winner and the akili kubwaz while I took it normal just like any advice from anyone[emoji23]

If I couldn't handle any advice from anyone nisingeomba ushauri sababu I definetly know watu wa design yako nao mpo.
 
Sisi wanawake tuna moyo wa huruma, mara unajisemea nitume sms au nisitume? Moyo unasema tuma tu moja[emoji3][emoji3] we acha tu tunaumizwaga sana

Namshukuru Mungu hua niko very calm ila nina pride moja matata sana, angekua amemute tu bila sbaabu haki asingeona txt yng hata moja na tungeishia hvy hvy, mwanzo ingekua shida ila at the end of yhe day unasahau.
 

Dear your very very right, long distance relationship sucks a lot it needs a lot of patients aisee otherwise unaweza kufa na pressure, well huyu alinitafuta the same day niliyoleta thread hapa na alinipa reasonable reasons why he wasn't available those past few days. I chose to trust him ila hiyo haimaanishi i put 100% to him.

Nikisema niweke asilimia zote naweza kuja pigwa na kitu kizito, anaweza akawa ngozi nyeupe na still akawa na shida zake kikubwa ni kuishi kwa kusikiliziana kuogopa kupigwa na kitu kizito[emoji28]
 
mpeni ushauri wa kawaida tu, mbona mnagumia lugha ngumu sana unaposema ana njaa hizo ni kashfa sasa
 
mpeni ushauri wa kawaida tu, mbona mnagumia lugha ngumu sana unaposema ana njaa hizo ni kashfa sasa

Hiyo ndio njia yao ya kujifariji na kujipa amani kua wao wako right so hata usijali dear nishazoea watu wa design hii pia.
 
mpeni ushauri wa kawaida tu, mbona mnagumia lugha ngumu sana unaposema ana njaa hizo ni kashfa sasa
Njaa anayo kweli wala sio utani! Mtu mwenye pesa hababaiki namna ambavyo yeye amebabaika tena kwa ishu kama ya simu tu😅
 
Ila nakukumbusha usiwe mjinga kama mimi kipindi kile nikiwa na huyo kaka.nilikua nampenda namuamini kiasi kwamba huku bongo nikiombwa no sitowi yaani kama vile yupo ananichungulia dirishani.

Siku moja nilikuwa nafanya kazi kampuni moja nimetumwa mitaani kufanya marketing sasa nikawa natoa na vipeperushi. Kipeperushi kimoja nikakiacha kwenye gari maswala ya bima.

Mara yule kaka kashusha kioo kaniita kaniuliza umeweka nini kwenye gari langu? Nikamuelezea akaniomba nimuelezee zaidi mwisho akaniuliza umeolewa? Nikamwambia no ila niko kwenye mahusiano, akaniuliza una uakika atakuoa? Nikamwambia sina jibu.

Akaniambia kama una uakika nipe no mimi nimekupenda, ninahitaji kuoa ndani ya miezi 6 kuanzia sasa. Nikakataa, akaniomba no nikasema hapana, nilikataa kwa sababu yule kaka alikuwa ashanipeleka kwao sikuona haja ya kufanya usalit.

Yule kaka alibembeleza sana apewe no nikagoma kumbuka hapo ilikuwa nov, na mchumba anarudi dec, nikasema no tiyari ninamtu kaka wa watu akaondoka. Baada ya mwezi yakanikuta hayo nililia nikamuwaza yule kaka nikawaza bora ningempaga no, nikawaza bora ningekariri hata plate no ni gemtafuta kwa hali yeyote hata tra nisingekosa msaada. Nilijuta sana.

Kuanzia hapo niliamka usingizini, mtu akiniomba no natoa.

All in all endelea kumuamini, mzungu akikupenda sometimes wanamaanisha.kuna wakati nilisema mimi na ngozi nyeusi basi tena lakini mazingira ya kupata mzungu kwangu yalikuwa magumu maana mkmi dio mtokaji.sasa wewe umempata komaa.
 
Ila nakukumbusha usiwe mjinga kama mimi kipindi kile nikiwa na huyo kaka.nilikua nampenda namuamini kiasi kwamba huku bongo nikiombwa no sitowi yaani kama vile yupo ananichungulia dirishani.
Ujumbe mzuri, karibia mwezi sasa sijamaliza kuandika uzi unaoendana na comment yako; nimekua mzito kuandika.

You are single, untill you're married
 
Kama nakuelewa

Seems you are intelligent.


Kama namwona mhindi wangu, kanitoa blue tick, ha ha ha ha ananisoma huku sijui kama nasoma, nimemwelewa, naenda na beat yake, akianza yeye kusalimia ndio najibu ama wakati mwingine namimi natulia tu nampotezea...maisha yanaenda hivyohivyo...hakuna zile Salam za kila mara, nilipata shida awali lkn sasa nimemzoea.

Hivi kumbe ndivyo mlivyo...!!!
 

Aisee! Pole sana dear...this is so touching and heartbreaking at the same time, pole sana mpenzi ila naamini kila kitu hutokea kwa sababu yule hakuwa wako na hata huyu wa kwenye gari hakua wako pia usjilaumu sana my dear.

Mimi kwa kweli am single till am married, huyu nachat nae vizuri tu ila sio mwisho wangu wa kua na mtu mwingine mpk pale ntapoona nimeoana nae otherwise ni aluta continua mpk ntapopata ambae tutafikishana kwenye altare au kwa mwanasheria kufunga ndoa ya serikali otherwise am still single, asante kwa muda wako na kunipa ushauri mzuri I really appriciate this a lot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…