- Thread starter
- #661
Can you handle the fact?!
Huyo Mzungu wako ni mimi kabisa huyo, na ndo maana totoz huwa hazinielewi!!
Ukweli ni huu: Inawezekana NAKUPENDA ILE MBAYA but YOU'RE NOT MY TOP PRIORITY!!
Unaanzaje kwa mfano kuwa My Top Priority wakati penzi lako haliwezi hata kunipa unit 2 za LUKU!!
Nitakupigia au kusoma/kujibu message yako at the right time! We don't open your WhatsApp message kwa sababu hatutaki ulalamishi wenu kwamba tumesoma lakini hatujibu as if kila message lazima ijibiwe!
Hey... nilisahau! Si kila unapoona grey ticks ni kwamba hatujasoma... sometimes tuna-disable notification ndipo tunafungua messages zenu mnaotaka muwe Top Priority! Tunazisoma lakini ukija unakuta grey tick na kudhani hatujasoma!!
Sorry Kim, tushasoma tayari lakini but it's not worth to respond it at that particular time kwa sababu wakati huo tuna-handle top priorities na mapenzi yanakuwa top priorities kwa wanaotumia moyo kupenda (it's just a gentleman way of saying "idiots") lakini sio wanaotumia kichwa kilichobeba akili!!
Ushauri wangu, don't push coz' watu aina hiyo dating zetu huwa zinakufa prematurely! Ukiona you're too time demanding... my friend, unafungiwa vioo jumla manake hayo mapenzi ya kukimbizana kweney maua wanayaweza wenyewe akina Shah Rukh Khan.
Kuna mmoja nimeanza ku-date nae karibuni lakini it's a matter of time kabla sijamwambia nasafiri Kitwe Zambia manake huyu nae anataka kila wakati tupigiane simu as if hana ndugu zake wengine wa kuongea nao.
I repeat, don't push!!
Unachotakia kufanya ni kutuma just short messages zisizo-demand umuhimu wa kujibu, kwa mfano "Hey, just checking out if you're okay... have a good day" lakini sio like "Hey, how are you holding up?" Hiyo ya pili ina-demand response!!
Kama unaona umhimu wa kupata muda wake kidogo, be like "Hey, have something to talk about, if you get free time, anytime, any day, please let me know" Lakini ukileta habari za "Hey I need to talk to you" Kwanza hako kasentensi unaweza kukakosoma kote bila kufungua WhatsApp!
Ndo hapo unaona grey tick na kudhani sijasoma kumbe nimeshasoma lakini haipo kwenye priority list hata kama mwandiko wako umeiweka kwenye top priority bila kujali ikiwa nami nina mengine ya ku-handle!
Well shukrani kwa maelezo mazuri after all am not that type of a girl, I always dance according to the beat ndio maana nilitaka kujua where should I stand...I was worried sababu the last thing he asked about was my well being, thats mean he needed a reply as he always do then he dissapeared na si kawaida yake angekua amekaa kimya tu bila sababu nisingesumbuka nae! Kuhusu sijui huwez kua na mtu asiekuongezea hata unit 2 za luku sasa unakaa nae wa nn km ww unachotaka ni kuongezewa unit za luku? Au niseme ww ndio uchaguzi wako mbovu unazoa mtu ambae hana addition yyt katika maisha yako the answer is simple[emoji28]
Kutoingia online sijui mara kuzima data ndio usome ili ajue hujasoma naona ni km utumwa u better be specific to her km hatakuelewa then obviously you guys don't match.
Huwez kuwaita wanaopenda kwa moyo ni idiots kisa ww uko tofauti nao ukajihisi una akili kubwa sababu hicho ndicho kinachowapa amani, just respect na ujue tu your just contrary to them sababu hata wao pia wanakuona wewe ni some sort of idiot pia sababu kuna very successful people ambao hutaweza kuwafikia mpk unakufa wanapenda kwa moyo so my point here is respect others decision while stand to your rules.
Thanks for the good advice I never pushed and he is just doing well.