Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Hiyo hajakutoa wewe tu ila ametoa blue tick so hataki mtu ajue km txt yake imesomwa au la!, dawa ya mtu jeuri na ww unamuwekea jeuri ya kimya zaidi yake yaan km humuoni vile mwisho wa siku unamchukulia poa tu.

Your doing a good job...just dance according to the beat.
 
Wala hatupo hivyo EL, unatusingizia tu!!! It's a matter of priorities!

Najaribu tu kuonesha hata pale boy wako anapokuambia "Sorry baby, I was very busy"! The TRUTHU IS: He wasn't that busy but YOU'RE NOT HIS TOP PRIORITY! Na pale anapokuambia "I was/am too busy" it means he's too busy with his priorities, ambazo, kwa bahati mbaya hizo priorities sio wewe 😂🤣😅!!

Unachotakiwa kufanya hapo ni kutafakari: Kwavile wewe sio his Top Priority! Je, ni second, third, fourth, fifth, or ? Na ungependa uwe nini: His First priority, second, third, fourth, or?!

Na je, hizo top priories zake ni muhimu kiasi hicho?

Lakini njia bora zaidi ndo hiyo ya kwenda na beat zake!!

And been telling people: Kama unataka mpenzi atakayekupa FULL ATTENTION, subiri sex dolls zitakazokuwa na uwezo wa kutembea na kuongea!

You just program your dolly kwamba kila Ikifika muda fulani akupigie au aku-text, au aje kuku-hug and all those stuff lakini kwa maisha ya sasa, my friend, unachotakiwa kujali ni kwamba s/he's always there for you bila kujali anakupigia mara ngapi kwa wiki!
 
Kumbe blue tick ni kwa wote, nilifikiri kaniweka Mimi tu?

Namimi nimejifunza kuwa jeuri.

Sometimes akinitumia sms anaona nimesoma ila nakausha, kuna wakati nimemchunia mpaka akapata wasiwasi wa kuachwa.
 
Kwasasa sijali sana kuwa first priority yake, nilichojiridhisha kuwa ananipenda angalau I can say zaidi ya 50% It's enough for me.

When he needs me, I will be there, japo kuna wakati nakuwa jeuri namzingua.
 
Kwasasa sijali sana kuwa first priority yake, nilichojiridhisha kuwa ananipenda angalau I can say zaidi ya 50% It's enough for me.
😍😍😍😍😍😍😍😍

Nikiona tu thread yako inayoashiria upo single, wallah lazima nikupigie misele coz' unajua what's best for you!!
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Nikiona tu thread yako inayoashiria upo single, wallah lazima nikupigie misele coz' unajua what's best for you!!
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4], hampendi kubanwabanwa ee?

Mbona mapenzi ya kubanwabanwa matamu jamani?
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4], hampendi kubanwabanwa ee?

Mbona mapenzi ya kubanwabanwa matamu jamani?
Ah wapi! Nina uhakika hata we mwenyewe hupendi kubanwa banwa!! Halafu unfikiri tatizo ni kubwana banwa basi, bali kubanwa wakati gani!
 
Kumbe blue tick ni kwa wote, nilifikiri kaniweka Mimi tu?

Namimi nimejifunza kuwa jeuri.

Sometimes akinitumia sms anaona nimesoma ila nakausha, kuna wakati nimemchunia mpaka akapata wasiwasi wa kuachwa.

Eeh unatakiwa kua hivyo, just know your worth hlf maisha yaendelee just simple like that.
 
Shoga angu kwanza tuanzie hapo ulikompatia shoga,hayo ya kublue tick Hebu yatulize kidogo
 
Mpe muda tu wala usije anza kutext mara kumi kumi...pengine ana tatizo au kapoteza simu..
 
Norway hawanaga upuuzi huo mkuu wake watu ni kama walokole fulani hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…