- Thread starter
- #681
Kama nakuelewa
Seems you are intelligent.
Kama namwona mhindi wangu, kanitoa blue tick, ha ha ha ha ananisoma huku sijui kama nasoma, nimemwelewa, naenda na beat yake, akianza yeye kusalimia ndio najibu ama wakati mwingine namimi natulia tu nampotezea...maisha yanaenda hivyohivyo...hakuna zile Salam za kila mara, nilipata shida awali lkn sasa nimemzoea.
Hivi kumbe ndivyo mlivyo...!!!
Hiyo hajakutoa wewe tu ila ametoa blue tick so hataki mtu ajue km txt yake imesomwa au la!, dawa ya mtu jeuri na ww unamuwekea jeuri ya kimya zaidi yake yaan km humuoni vile mwisho wa siku unamchukulia poa tu.
Your doing a good job...just dance according to the beat.