Straight shooter [emoji23], umeona umchane tu
Za chaki hazitoshi. Hamna asiyetaka maisha mazuri aisee[emoji23][emoji23]. Yaani niteseke na chaki kusimama siku nzima na bado nikapambane kudandia daladala kwa dirishani kisa nabania pussy ambayo baada ya michosho ya daladala naenda kumpa Abdala anasimamia ukucha na kunibinua binua anavyotaka usiku mzima na bado hapo haimaanishi ha cheat ama nipo peke yangu? Hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaha unatambaa na chaki tu[emoji28] sini life tu [emoji28]
Hebu na mimi nitumie hizo details za Netflix nikiwa natafakari ni kipi kimemsibu shemeji yetu mtarajiwa
Kwahio unataka umtose Harry McBride? Hebu kuwa na subira bana
Eti Yesu ni mwokozi wa maisha yako.Hii mambo bana ukichukulia seriaz waeza lia aisee[emoji28] kuna pimbi moja iko Belgium iliwahi kuniweka kwa hii plan nikaona kweli Yesu ni mwokozi wa Maisha yangu!
Tumepitia mengi kama taifa!!!
😂😂😂 mchele mchele mcheleI have developed some feelings for him honest speaking
Kwahio unataka umtose Harry McBride? Hebu kuwa na subira bana
Leo atapatikana dear. Ondoa shaka kabisa huyo ni mzima kabisa wa afya.Ah basi km ni hivyo afanye haraka arudi kwa mpenz wake mie kikubwa cha peke yetu kaburi, nimekua na hofu sababu siku niliyopata ajali nikavunjika nilitoka kuchat nae km lisaa tu nikapata ajali mbaya sana ya bajaj ila nashukuru Mungu nilivunjika vidole vya mguu tu katika kujaribu kujinasua, so ingekua vibaya zaidi ningeweza hata kupoteza maisha so my point ni kua chochote kinaweza kutokea ndani ya muda mfupi.
dada marinda huyataki?sisi tupo maana now mid 20 bado unadai ukifika mid 40 tunakupokea tu waswahili wa tandale kwa tumbo tunakupokea kama ulivokuja.
Ah basi km ni hivyo afanye haraka arudi kwa mpenz wake mie kikubwa cha peke yetu kaburi, nimekua na hofu sababu siku niliyopata ajali nikavunjika nilitoka kuchat nae km lisaa tu nikapata ajali mbaya sana ya bajaj ila nashukuru Mungu nilivunjika vidole vya mguu tu katika kujaribu kujinasua, so ingekua vibaya zaidi ningeweza hata kupoteza maisha so my point ni kua chochote kinaweza kutokea ndani ya muda mfupi.
You have to try...
Unajua kumtumia tu mtu text inakuwa haina ushahidi kama kaona au kasoma au hajasoma...
Ukipiga simu utakuwa na uhakika kama imepokelewa au lah, na hata ikienda kwa voicemail utajua na utaacha ujumbe...
Halafu uache kutumia account ya watu ya netflix, sio uendelee kujimwaga huko bila aibu
Za chaki hazitoshi. Hamna asiyetaka maisha mazuri aisee[emoji23][emoji23]. Yaani niteseke na chaki kusimama siku nzima na bado nikapambane kudandia daladala kwa dirishani kisa nabania pussy ambayo baada ya michosho ya daladala naenda kumpa Abdala anasimamia ukucha na kunibinua binua anavyotaka usiku mzima na bado hapo haimaanishi ha cheat ama nipo peke yangu? Hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaulizia buibui na vumbi stoo😅??? Au oil chafu gereji😅Eti Yesu ni mwokozi wa maisha yako.
Vipi alikubwaga bila kukuaga?[emoji23][emoji23][emoji23]
Unamuhitaji huyo jamaa zaidi ya sana. Siku tatu tu umekuwa na hofu kiasi hicho. Bora hata ingekuwa mwezi,.kweli mapenzi upofu.
Hahahaha mzee naona umemchana Live
Sawa mkuu ntajaribu kifanya hivyo nikiona ukimya unazidi.
Atakutafuta leo. Si unaona ilikuwa ni weekend? Mpenzi wako alienda kwa mpenzi wake na simu anayotumia kuchat na wewe aliiacha nyumbani kwake akaondoka na nyingine ambayo sasa wewe hauna.
Usijali atarudi leo, muendelee mlipoishia.