Asante kwa ushauri mzuri nimekuelewa sana tena mno kuhusu proffesional mimi ni degree holder wa finance and investiment n development planning..kuhusu exposure ya watu wa nje kweli sikua nayo kiivyo ila naimani Mungu ni mwema I will learn with time..asante kwa muda wako.
Thanks kwa ku appreciate. Na umeuthamini muda niliotumia kukushauri.
Sema nilichokupendea uko na ndoto ya kumiliki mzungu. Huwa naelewa Mana ya ndoto so huwa navalue Sana Mana hata mie ni mtu wa ndoto na nilikuwa wa ndoto since my early childhood yaani Ile nikiwa below five years nawaza kusoma nje ya nchi. Na nilifanikiwa. Yaani kila kitu kinachotokea kwangu huwa naota nakuwa na desire mbaya Sana yaani Ile burning desire. Nakuwa very passionate kiasi kwamba hata usingizi sipati,njaa sipati hata hamu ya mapenzi Sina Bali only my burning desire with highest and strong fire fuel flames.
Nicheki ukikwama hata pm.
Pia Kuna dada mmoja tu aliolewa na mzungu tulioenda kusoma nao.
Kuna mzungu tulikutana naye kwa underground train mkewe ni black.
Yule bwana shemu wetu kuna kitu tulikwama kule chini akaongea na maaskari kikwao afu tukafanikisha.alikuwa Ana dada yetu na anko wetu mmoja.
Ila please usiwe Sana tuned kiasi kwamba Mambo yakibaunsi kubali ambayo Mungu amekujaalia.
Kwa elimu iyo uko poa Sana.
Yaani hata kwa ku upgrade kwa nje ni haraka ama ni rahisi Sana.
Huyo dada ukitaka nikuunganishe naye nadhani Yuko fb saivi Yuko zake nje.
Sema bana huyu dada alikuwa Ana tabia nzuri Sana yaani Sana hta mtu ndugu angetaka kumuoa ningempa go ahead.
Sema Sasa blacks tukiwa nje hatunaga hamu na nyie dada zetu yaani hata bure.
Binafsi ilinichukua muda mrefu Sana baada ya kurudi bongo Nika develop Tena hisia na dada zangu wa kiafrika.
White aliyezoea pigo zetu Kaka zake huwa anawaona Kama hawawezi kazi