Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Wazee wa kufukua makaburi. Haya mtag na shemeji yetu huko Oslo aone jinsi dada yetu alivyojaa upendo moyoni.
 
We unapenda wazungu matatizo yakikukumba unarudi kwa waswahili.Waulize wazungu wenzio.
Mkuu hata wanaume weusi wana matatizo. Je dume likisema linapenda wanawake weusi kabisa, wastani au shombe au mzungu utamlaumu?!
Mie sikatai. Weusi sana au maji ya kunde nawa chizi kabisa. Utanisakama?!
 
Binadamu tumeumbiwa kuongea, kitu asipofanya yy bas lazima kitaonekana kina kasoro, mi nishazoea.
 
Mbona ni kitu popular sana na kimezaa ndoa nyini na mahusiano mengi mno...fanyia uchunguz kidogo utaelewa si kila nchi wako free na wana muda km sisi
Mnatumia mitandao gani, nasikia tu watu wanapata wachumba an' i thought ni facebook ambako ni scam ile mbaya hasa WANIGERIA wale wa UKIMBIZI na KANISANI.
 
Si walisema nna njaa ndio maana nahofu kisa mzungu yupo kimya? Huyu nae alikua mzungu? Ndio mjue sio kila mwanamke ni kiruka njia au mbadili wanaume km nguo..wengine hua tukipenda tunapenda...wa Tanzania wapunguze makasiriko na chuki kuona kisa mzungu wamepanick wanatoa mipovu na negative comments kibao! Mungu awasaidie kwa kweli.
 
Mnatumia mitandao gani, nasikia tu watu wanapata wachumba an' i thought ni facebook ambako ni scam ila mbaya hasa WANIGERIA wale wa UKIMBIZI na KANISANI.

Facebook ilikua zamani sio sasa hivi, kuna dating sites tofauti tofauti km tagged, international cupid, lovoo, tinder, christiancafe na afro introduction na nyingine nyingi tu...

Ni wewe tu kua makini usitume hela hata kwa fimbo hata huyu mzungu nilimshangaa na nilimuona he really meant it alivyorisk kunitumia hela na kunipa account yake ya netflix na his really password...na kunipa all of his details about him, he seems very serious inlove and interested with me.

Ashukuru Mungu alinikuta ni muaminifu na nilimpenda kweli maskini ya Mungu kaka wa watu otherwise angetapeliwa vibaya mno.
 
Wazee wa kufukua makaburi. Haya mtag na shemeji yetu huko Oslo aone jinsi dada yetu alivyojaa upendo moyoni.

Nilichokisoma kwa huyu dada ni mtu flani hivi real halaf dizain km ana ka adabu flani hivi na ka upendo kutoka moyoni, upande wa adabu na malezi we cheki hata jinsi anavyojibu watu kwa ustaarabu sana.

Huyu jamaa atapata bahati akimpata huyu dada
 
Si walisema nna njaa ndio maana nahofu kisa mzungu yupo kimya? Huyu nae alikua mzungu? Ndio mjue sio kila mwanamke ni kiruka njia au mbadili wanaume km nguo..wengine hua tukipenda tunapenda...wa Tanzania wapunguze makasiriko na chuki kuona kisa mzungu wamepanick wanatoa mipovu na negative comments kibao! Mungu awasaidie kwa kweli.
Ilikuchukua muda gani kumove on hapa, Miss Kimbisa.? And how did you manage it.?
 
Mkuu hata wanaume weusi wana matatizo. Je dume likisema linapenda wanawake weusi kabisa, wastani au shombe au mzungu utamlaumu?!
Mie sikatai. Weusi sana au maji ya kunde nawa chizi kabisa. Utanisakama?!

Watu wana makasiriko kisa wameona kapata mzungu na ukisoma kwa makini huyo mzungu kamwelewa sana huyo binti, dada ana ka hofu tu kale ila kwa uzoefu wangu na wanaume hasa hizo ngozi nyeupe nimefanya nazo sana kazi, huyo jamaa kamuelewa huyo dada tena sana tu.

Wazungu ni watu wajanja mnoo mpk kamfanyia vyote hivyo kampenda na kitendo cha kubook fligjt mapema kuja kumuona mapema hivyo shows how much the guy is into the girl. Trust me.
 
Dada relax hiyo mzungu kakupenda, mzungu tena kijana hivyo akupe his personal details na kukutumia kiasi cha pesa km hicho! Sio kizembe hivyo

Muombee tu azidi kukupenda na amekutumia hela nyingi tu maana hela ya norway sio kubwa km dollar au pound so ni amekutumia hla ya kueleweka ht huko kwao.

Kitendo cha kubook flight mapema ni upendo pia mimi nimefanya kazi na majamaa wa scandnavia hasa sweden, denmark na norway, hao jamaa wako real sana halafu wakikupenda wanahonga vibaya mnoo huo ni mwanzo tu.

Acha waja wakuonee wivu tu ila kibongo bongo ushaukata tayari na ni waaminifu mnoo usijarib kucheat akakuhisi atakuacha siku hiyo hiyo hawana masihara juu ya hilo.

Jiandae kisaikolojia Norway inanukia soon, na uraia wa kule kupata ni simple as a piece of cake...all the best baby girl[emoji8]
 
Back
Top Bottom