Mzungu kakataa Mimba

instead of saying sorry for me now you're attacking!, which kind of a person are you..?
can't you see i have a problem and need a solution!.
don't be that way.
Mzungu Ako jamii forum , OGOPA MATAPELI πŸ˜‚
 
Aende huko huko alipo mzungu,akamshtaki dawati la jinsia na ustawi wa jamii

Mix by Yas
 
Hapo mchina alikuja kujenga reli mkataba ulivoisha akasepa , wao wanatandaza TU vizazi bila malengo . Ni Bora umzalie mwafrika mwenzio maskini TU sio watu weupe afu asielea mtoto na hata kwao hupajui.
Ushamba tu wa Dada zetu. Halafu hata huwa hawajifikirii huyu mzungu anatembea mpaka uswahilini kwao huwa hawashutuki?

Wazungu wenye ukwasi huwa wanaiona ngozi nyeusi ni takataka. Mzungu Tajiri hawezi kumla demu jobless, poor minded lady, kimsingi hii ni chai πŸ€£πŸ€£πŸ€£β˜•
 
Mwenye Zile Miwani Za Kijani Kwenye Mkutano Wa Tarehe 18 ~ 19..01.2025
Atuwekee Picture
 
Mleta mada ana vistori vyake vya changamsha jukwaa and i love that

Ni mwendo wa chai to chai
SIjui huwa anatuchukuliaje watu na maisha yetu? 🀣🀣🀣
Maana mleta stori siku zote stori zake ni zile za high level of life. Alafu huwa zinamtesa sana na sijui kwann huwa habadiriki.

Story zetu zinaeleweka kubeti, simu yangu infinix inapata sana joto, nimeibiwa pochi kwenye daladala na mwendokasi unachelewa sana kuja kituoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Hapo mchina alikuja kujenga reli mkataba ulivoisha akasepa , wao wanatandaza TU vizazi bila malengo . Ni Bora umzalie mwafrika mwenzio maskini TU sio watu weupe afu asielea mtoto na hata kwao hupajui.
Unapata kizawadi fulani hivi πŸ˜…
 
Asitoe mimba
huweza akawa Obama. Cha msingi after Birth a plan for DNA.. atafute Mwanasheria.. nchi nyingi mfano UK Wana sheria kali sana za kulinda watoto... aombe Child support!!
 
Rangi nyeupe ndo zinawachanganyaga, ilitakiwa ujue utajiri alionao ndo uzae. Kuzaa na mzungu maskini Bora uzalie hizi mbupu za kiafrika TU
Wa-Dada wa Ki-Bongo na Ki-Afrika ndio wako hivyo..Wanadhani Watu weupe wako vizuri....Kumbe kuna Wa-Bongo tunawazidi sana hao wazungu....Kuna siku tulikuwa Mombasa, na jamaa Mmoja Mzungu...Kumbe sisi ni vi-bosile kuliko yule Mzungu, tukawa tunacheka tukiona wa-Dada wanampapatikia yule Mzungu...Sisi tukamwambia yule Mzungu usiuze code, wacha wajue hivyo hivyo, watafune tu...na wasijue kama sisi ni vi-bosile kuliko yeye..
 
Mtoto no Baraka
huweza akawa Obama. Cha msingi after Birth a plan for DNA.. atafute Mwanasheria.. nchi nyingi mfano UK Wana sheria kali sana za kulinda watoto... aombe Child support!!
Muongo huyo siku zote ana vijistori vya hivi hivi mpaka huwa najiuliza huyu huwa anatengeneza scripts za maigizo?
 
Wadada wakiona mzungu wanaona utajiri hawajui kwamba Kuna wazungu coco ni choka mbaya , wanakuja Africa kutafuta unafuu TU
 
Umaskini wa mawazo utaisha lini? Avune alichopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…