Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Nilishindwa ku comment nikaishia kuandika aiseee 🤣🤣🤣
Huyu mleta uzi anatuonaga sisi ni Washamba/Masikini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishindwa ku comment nikaishia kuandika aiseee 🤣🤣🤣
Mzungu Ako jamii forum , OGOPA MATAPELI 😂instead of saying sorry for me now you're attacking!, which kind of a person are you..?
can't you see i have a problem and need a solution!.
don't be that way.
Mimi sio tapeli!Mzungu Ako jamii forum , OGOPA MATAPELI 😂
Nilishindwa ku comment nikaishia kuandika aiseee 🤣🤣🤣
Huyu mleta uzi anatuonaga sisi ni Washamba/Masikini sana.
Ushamba tu wa Dada zetu. Halafu hata huwa hawajifikirii huyu mzungu anatembea mpaka uswahilini kwao huwa hawashutuki?Hapo mchina alikuja kujenga reli mkataba ulivoisha akasepa , wao wanatandaza TU vizazi bila malengo . Ni Bora umzalie mwafrika mwenzio maskini TU sio watu weupe afu asielea mtoto na hata kwao hupajui.
Jana niliwaambia huyu mtu anaeitwa "JAMAA" anasingiziwa sana.JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..
Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
SIjui huwa anatuchukuliaje watu na maisha yetu? 🤣🤣🤣Mleta mada ana vistori vyake vya changamsha jukwaa and i love that
Ni mwendo wa chai to chai
Mimi sio tapeli!
[/QUtenaRangi nyeupe sio watu wazuri kwetu rangi nyeusi mbona mwasahau mapema jamanii 🥺🥺Ushamba tu wa Dada zetu. Halafu hata huwa hawajifikirii huyu mzungu anatembea mpaka uswahilini kwao huwa hawashutuki?
Wazungu wenye ukwasi huwa wanaiona ngozi nyeusi ni takataka. Mzungu Tajiri hawezi kumla demu jobless, poor minded lady, kimsingi hii ni chai 🤣🤣🤣☕
Unapata kizawadi fulani hivi 😅Hapo mchina alikuja kujenga reli mkataba ulivoisha akasepa , wao wanatandaza TU vizazi bila malengo . Ni Bora umzalie mwafrika mwenzio maskini TU sio watu weupe afu asielea mtoto na hata kwao hupajui.
Kutesa viumbe visivyo na hatia TU , 😁Unapata kizawadi fulani hivi 😅
Wa-Dada wa Ki-Bongo na Ki-Afrika ndio wako hivyo..Wanadhani Watu weupe wako vizuri....Kumbe kuna Wa-Bongo tunawazidi sana hao wazungu....Kuna siku tulikuwa Mombasa, na jamaa Mmoja Mzungu...Kumbe sisi ni vi-bosile kuliko yule Mzungu, tukawa tunacheka tukiona wa-Dada wanampapatikia yule Mzungu...Sisi tukamwambia yule Mzungu usiuze code, wacha wajue hivyo hivyo, watafune tu...na wasijue kama sisi ni vi-bosile kuliko yeye..Rangi nyeupe ndo zinawachanganyaga, ilitakiwa ujue utajiri alionao ndo uzae. Kuzaa na mzungu maskini Bora uzalie hizi mbupu za kiafrika TU
Muongo huyo siku zote ana vijistori vya hivi hivi mpaka huwa najiuliza huyu huwa anatengeneza scripts za maigizo?Mtoto no Baraka
huweza akawa Obama. Cha msingi after Birth a plan for DNA.. atafute Mwanasheria.. nchi nyingi mfano UK Wana sheria kali sana za kulinda watoto... aombe Child support!!
Kuna u single Maza wa bahat mbaya ila huu ni wa kujitafutia aiseeMtoto no Baraka
huweza akawa Obama. Cha msingi after Birth a plan for DNA.. atafute Mwanasheria.. nchi nyingi mfano UK Wana sheria kali sana za kulinda watoto... aombe Child support!!
Wadada wakiona mzungu wanaona utajiri hawajui kwamba Kuna wazungu coco ni choka mbaya , wanakuja Africa kutafuta unafuu TUWa-Dada wa Ki-Bongo na Ki-Afrika ndio wako hivyo..Wanadhani Watu weupe wako vizuri....Kumbe kuna Wa-Bongo tunawazidi sana hao wazungu....Kuna siku tulikuwa Mombasa, na jamaa Mmoja Mzungu...Kumbe sisi ni vi-bosile kuliko yule Mzungu, tukawa tunacheka tukiona wa-Dada wanampapatikia yule Mzungu...Sisi tukamwambia yule Mzungu usiuze code, wacha wajue hivyo hivyo, watafune tu...na wasijue kama sisi ni vi-bosile kuliko yeye..
Umaskini wa mawazo utaisha lini? Avune alichopandaHi guys,
Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .
Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .
Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .
So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.
Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
Tena huu wa kujitakia , Yani unamkabidhi mzungu utamu hadi kizazi pia . 😁😁 Sijui alidanganywa ninNew single mother in town