Mzungu kakataa Mimba

Si unakataa mimba bro
Hivi tukitaka game unadhani huwa tunataka na watoto.
Sasa Kama sikupendi na Sina mpango wa kuzaa na wew
Naanzaje kukubali hiyo mimba
Lea mwenyewe mimba labda siku ukizaa nitajifikiria kukusaidia
 
Kwanza pole
Pili chagua moja kama ni kingereza basi kiwe mwanzo mwisho kama ni kiswahili kiwe mwanzo mwisho.
 
Zaa tu mama Mimi mwenyewe nataman kumiliki singo maza mwenye mtoto wa kizungu🤣🤣🤣
 
Umaskini wa mawazo utaisha lini? Avune alichopanda
Hivi tukitaka game unadhani huwa tunataka na watoto.
Sasa Kama sikupendi na Sina mpango wa kuzaa na wew
Naanzaje kukubali hiyo mimba
Lea mwenyewe mimba labda siku ukizaa nitajifikiria kukusaidia
Kwanini mfikie kuzaa wakati Kuna option ya abortion TU. Kwanza mwezi mmoja sio mimba ni yai lililorutubishwa TU 😁😁
 
JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..

Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
Ni wew hakuna cha ndugu ushauri Rudi huko huko Dating site cjui ni kupatana.com utampata mzungu mwingine wa kumlea Huyo mtoto hiyo jamii huwa hawatelekezi damu yao atamchukulia kama wake tu ila kama ni hawa jamii ya macho kuvimba ishaisha hiyo Lea tu mimba
 
Tatizo la wadada wakimatumbi wengi kuamini kila mzungu ana pesa na yupo smart sana , kiufupi huyo ni mhuni kakusanya pesa zake za mawazo akaja kujituliza tu, akaichapa na kusepa kama wamatumbi wengi tu tunavyofanya na kukataa watoto.
Kuna mdada mmoja ngeli ilikuwa inampinga chenga ila anajifanya mjuaji na dharau hatari.

wahuni tukawa tunamchora tu kwenye side mirror, sasa Kuna siku akakutana na mzungu napita zangu nashangaa binti ananiita eti nimsaidie kuongea na mzungu yeye hamuelew.

Mimi nikamwambia Ili mambo yasiwe mengi wewe usiongee naye maneno mengi sema tu " One Dollar"

Basi Kila mzungu akiongea demu anajibu one dollar, mzungu akamshika mkono akaingia naye room demu akapewa 1 dollar yake anaenda kubadilisha anashangaa anapewa Tzs 2500/= basi mpaka Leo tunamuita 1 dollar na hana hamu Tena na wazungu.
 
Atoe tu mimba haraka sana...wazungu wengine matapeli
 
Zaa tu mama Mimi mwenyewe nataman kumiliki singo maza mwenye mtoto wa kizungu🤣🤣🤣
Wee baba mweusi mama mweusi ila mtoto mzungu , Sijapenda 🤣🤣🤣
 
Ungeandika kwa lugha ya kiswahili sanifu... Ingeeleweka vizuri tu'

Wasomi mnaniangusha....
 
Tatizo la wadada wakimatumbi wengi 😀kuamini kila mzungu ana pesa na yupo smart sana , kiufupi huyo ni mhuni kakusanya pesa zake za mawazo akaja kujituliza tu, akaichapa na kusepa kama wamatumbi wengi tu tunavyofanya na kukataa watoto.
We mumatumbi😀
 
Dadeki! Mzungu kanyunyuzia wadhungu kwa mbususu 🤣🤣🤣🤣
Lolote limkute sii ametunyima sie weusi wenzake kaona mzungu dili🤣🤣🤣🤣
 

Hii yake ya leo ni ya kimasikini...huoni mama K hana kazi,hana pesa za kulea kijacho japo ni chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…