zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Jamaa ni mwanaume au mwanamke?Hahaha kuna jamaa yangu ana tutoto tuwili tushombe twa kufikia twa kizungu!..mzungu alipiga mashine akalala mbele akamuacha single maza na tutoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni mwanaume au mwanamke?Hahaha kuna jamaa yangu ana tutoto tuwili tushombe twa kufikia twa kizungu!..mzungu alipiga mashine akalala mbele akamuacha single maza na tutoto
... mbegu ya maulaya ni FAIDA TOSHA!Hi guys,
Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .
Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .
Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .
So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.
Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
Duh cheki huu ushauri hivi mnatuchukuliaje sisi wanaume
Hawa viumbe hawafai
Ah wee de libolo la mzungu tamu bidada akaona wacha mzungu akojokee ndaniiiiKisa ni mzungu ndo ukiachie kizazi chako ovyo ovyo 😕
Wee mupandishwa emirates mchezo...lazima demu upagawe ukifika huko mamtoni unamsusia mbususu mzunguTena huu wa kujitakia , Yani unamkabidhi mzungu utamu hadi kizazi pia . 😁😁 Sijui alidanganywa nin
Kavu tamuuu nyiee. Condom ni kupiga nyeto tuuKwahiyo mkalana kavu.
Kwanini amesema unfortunately...JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..
Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
Kwa nini? Sii anatafuta mume jamani au anataka de libolozMwanamke kuwepo kwenye Online dating sites hiyo ni REDFLAG
😃😃😂Uzi ufungwe 😹😹😹
Toto halfcast bwana alafu liwe la kke aisee zuri hiloooNdoto za wasichana wa tz kupata mtoto wa kizungu hongera [emoji480]
Yaani huyo jamaa angekuwepo tayari angeshakufa kwa haya mambo anayosingiziwa😆😂Jana niliwaambia huyu mtu anaeitwa "JAMAA" anasingiziwa sana.
Hii ni imani ya waafrika wengi ila wazungu nao kama ilivyo waafrika wapo wengi tu wanaowatelekeza watoto wao wakaingia mitini. Mmojawapo ni steve jobs aliyekuwa mwanzilishi na CEO wa apple.Tatizo la wanawake wanapenda sana kudanganywa na hii ni kwasababu wanaongozwa na hisia na sio akili.
Kama hii sio chai basi huyo mzungu atakua niwa ajabu sana maana navyojua wazungu Huwa ni watu wanaojali sana damu zao.
😃😃😃Lakini cha ajabu akitokea mtu akasema kuna rafiki au jamaa yangu ameshinda 500M kwenye jackpot, anaomba ushauri afanye biashara gani au anaomba ushauri anunue gari gani kati ya range rover na g wagon, hutaona mtu akilazimisha kwamba huyo rafiki anayemsemea ni yeye..this is africa and not only jf!!
Maranyingi Online dating sites wanawake wanaweka maungo yao yaonekane ili kuwavutia wanaume.Kwa nini? Sii anatafuta mume jamani au anataka de liboloz
Wanawake hawana uogaHi guys,