Mzungu kakataa Mimba

Mzungu kakataa Mimba

Hi guys,

Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .

Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .

Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .

So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.

Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
... mbegu ya maulaya ni FAIDA TOSHA!
 
Duh cheki huu ushauri hivi mnatuchukuliaje sisi wanaume
Hawa viumbe hawafai

Wewe vipeeeee unataka awe kama akima nyie, munazaa mnatoa vihela vya digit 5 tu..??? 🤣🤣🤣 Wewe hutoi lazima

Maisha ya malezi kwa watoto ukizaa hapa nchini hakuna kitu.. Huko nchi za watu sio mchezo lazima uisome namba if mshaharaau income yoyote labda uwe mgonjwa hauingizi pesa.. Ila utatoa lazima % kwa mtoto uliyemzaa ukiisha hadi amri ya mahakamani itakula nawe tu hadi utoe..

Wanaume nyie ndio biumbe vya ajabuuuu.. Huyo akomeshwe tu
 
Tena huu wa kujitakia , Yani unamkabidhi mzungu utamu hadi kizazi pia . 😁😁 Sijui alidanganywa nin
Wee mupandishwa emirates mchezo...lazima demu upagawe ukifika huko mamtoni unamsusia mbususu mzungu
 
JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..

Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
Kwanini amesema unfortunately...
 
Tatizo la wanawake wanapenda sana kudanganywa na hii ni kwasababu wanaongozwa na hisia na sio akili.

Kama hii sio chai basi huyo mzungu atakua niwa ajabu sana maana navyojua wazungu Huwa ni watu wanaojali sana damu zao.
Hii ni imani ya waafrika wengi ila wazungu nao kama ilivyo waafrika wapo wengi tu wanaowatelekeza watoto wao wakaingia mitini. Mmojawapo ni steve jobs aliyekuwa mwanzilishi na CEO wa apple.
 
Lakini cha ajabu akitokea mtu akasema kuna rafiki au jamaa yangu ameshinda 500M kwenye jackpot, anaomba ushauri afanye biashara gani au anaomba ushauri anunue gari gani kati ya range rover na g wagon, hutaona mtu akilazimisha kwamba huyo rafiki anayemsemea ni yeye..this is africa and not only jf!!
😃😃😃
 
Kwa nini? Sii anatafuta mume jamani au anataka de liboloz
Maranyingi Online dating sites wanawake wanaweka maungo yao yaonekane ili kuwavutia wanaume.

Mahusiano yeyote kabla ya kuanzishwa inapaswa kuhakikisha kwanza unamu-Approach mtu mwenye Heshima na Uadilifu.

Sio kudate na mtu sababu ana Mapaja mazuri, Makalio makubwa, Chuchu dede au Sura nzuri kama wafanyavyo huko.

NB: Siyo kila aliyeko huko ni RED FLAG, Ila ni sehemu ambazo unapaswa kutumia akili sana.
 
Wanawake wengine mna vituko. Ukishapata bwana anakutunza unaona ndio fursa ya kubeba na mimba. Wanaume wengine hawana muda wa kulea mimba wala mtoto wao ni bata tu. Shauri zenu
 
Hi guys,

Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .

Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .

Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .

So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.

Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
Wanawake hawana uoga
 
Back
Top Bottom