Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Weekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo, niliinama fasta nikakichukua.
Kwa ndani nilikuta kuna pete tatu, jee zinaweza kuwa na madini fulani?, na nikitaka kuziuza wapi naweza kuzipeleka
Natanguliza shukrani
View attachment 1935096View attachment 1935099
PIA, SOMA: - Mrejesho, Baada ya kuokota kipochi cha mzungu kilichokuwa na pete