Mimi ni mdau wa manunuzi sana online...,,, wazungu wengi wananunua pete ambazo hazizidi hata laki, nakuvalishana huku wakiwa wanazisifia balaaaRudisha tu mkuu,utakuta nao dunia imewaelemea huko,wamenunua pete za 4000 kariakoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mdau wa manunuzi sana online...,,, wazungu wengi wananunua pete ambazo hazizidi hata laki, nakuvalishana huku wakiwa wanazisifia balaaaRudisha tu mkuu,utakuta nao dunia imewaelemea huko,wamenunua pete za 4000 kariakoo
Naunga mkono hojaWarudishie sio zako mkuu ukizichukua utapoteza mara dufu
Ok hizo mbili za juu hapo zinaweza kutoka bei gani. Maana mg'ao wake ni waajabu, sii kawaidaMimi ni mdau wa manunuzi sana online...,,, wazungu wengi wananunua pete ambazo hazizidi hata laki, nakuvalishana huku wakiwa wanazisifia balaaa
Nilishakutana nao hao 🤣🤣🤣Zamani wenzako nao walikuwa wanasema wamepata ajali na wazungu wakaokota madini hawajui thamani yake!!!🤣🤣
Peleka polisi watakusaidia
Amini nakwambia ukifanikiwa kimrudishia fadhila atakayokupa utakuja kutushukuru humu baadae.Sidhani ndugu kuna mbili hapo zinanga'aa sana, ndio maana nikaja tafuta wataalam humu, labda zinaweza kuwa na madini fulani
Yani nimecheka sana aisee. Yani unaona ni sawa kabisa wewe kuja kuuliza bei ya mali ya mtu ili ukauze? Astaghafirullah! Lakini, haishangazi aisee, kwa hayo makucha yako, unaoesha wazi ni mtu wa aina gani.Weekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo, niliinama fasta nikakichukua.
Kwa ndani nilikuta kuna pete tatu, jee zinaweza kuwa na madini fulani?, na nikitaka kuziuza wapi naweza kuzipeleka
Natanguliza shukrani
View attachment 1934420View attachment 1934421
Hiyo million hujui kuandika. Sidhani kama unayoNiuzie mimi zote miliyoni 10, njoo sasa hivi hapa
Zamani wenzako nao walikuwa wanasema wamepata ajali na wazungu wakaokota madini hawajui thamani yake!!![emoji1787][emoji1787]
Peleka polisi watakusaidia
Ni mgahawa tu, sidhani kama una cctvMTOA MADA KAMA HIYO HOTEL KUNA CCTV AMBAYO BROBABLY IPO
UTAKIONA CHA MTEMAKUNI NA TENA UUZE UTASEMA POO
Kwa picha ni ngumu kwakuwa hapo kinachoonekana ni rangi tuUshauri mzuri lakini kwanza nataka kujua thamani ya hivi vitu