Mzungu kasahau kipochi chenye pete. Hivi zinaweza kuwa na thamani gani?

Mzungu kasahau kipochi chenye pete. Hivi zinaweza kuwa na thamani gani?

Unajitafutia laana itakayokutafuna maisha ..unaweza rudisha unapata zaidi
 
Ungeviacha palepale kwa wahusika naamini mzungu angerudi kuulizia vitu vyake, tatizo tamaa na njaa zimekuzidi...........
 
Zingekuwa na thamani wasingeweza kuweka kizembe kihivyo,, lazima wamenunua kwa machinga
 
Mkuu umeamua Kuiba na kuuza mali za watuu...!!!
 
Oky naona wengi wanasema rudisha rudisha rudisha. Nitapita pale niache namba zangu na maelekezo incase wakivitafuta nitarudisha.
Ila naomba isiwe hivyo.
 
Oky naona wengi wanasema rudisha rudisha rudisha. Nitapita pale niache namba zangu na maelekezo incase wakivitafuta nitarudisha.
Ila naomba isiwe hivyo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sasa mkuu unaomba wasirudi au??

Ushauri mzuri nenda kwa sonara zunguka hata sonara watatu waambie unauza hizp pete alafu sikia watakwambia sh ngapi
 
Back
Top Bottom