Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Nifanyeje nikatangaze redioni au??Dah wewe vipi si ufanye mpango wa kumrejeshea unataka kuuza kwani zako.
Nakushauri tangaza kuwa umeokota hivyo vitu..utanishukuru baadae .. Au kaache maagizo kwa wahusika wa hiyo sehemuWeekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa jwisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo, niliinama fasta nikakichukua.
Kwa ndani nilikuta kuna pete tatu, jee zinaweza kuwa na madini fulani?, na nikitaka kuziuza wapi naweza kuzipeleka
Natanguliza shukrani View attachment 1934420View attachment 1934421
Sidhani ndugu kuna mbili hapo zinanga'aa sana, ndio maana nikaja tafuta wataalam humu, labda zinaweza kuwa na madini fulaniRudisha tu mkuu,utakuta nao dunia imewaelemea huko,wamenunua pete za 4000 kariakoo
Mkuu warudishie tuSidhani ndugu kuna mbili hapo zinanga'aa sana, ndio maana nikaja tafuta wataalam humu, labda zinaweza kuwa na madini fulani
KarmaWarudishie sio zako mkuu ukizichukua utapoteza mara dufu
Asante sana, ngoja nikawatafute masonara waniambie thamani yake kwanza ndio mengine yaendeleeMasonara watakupa majibu mazuri, ila usiende na Gia ya kuuza, jifanye kama una Vito vyako hivyo unataka kutengenezewa Pete, wadadisi thamani yake.
Ushauri mzuri lakini kwanza nataka kujua thamani ya hivi vituNakushauri tangaza kuwa umeokota hivyo vitu..utanishukuru baadae .. Au kaache maagizo kwa wahusika wa hiyo sehemu