Lumumba mpowapi mje kujibu hoja hii nzito.
Mbona Watu Wa Bumbuli Mmepandwa Jazba Hivyo!!!?? Kwani Hiyo Nayo Hoja Ya "Kumtakasa " Bosi Wenu!!!??
Source ni yeye Mwenyewe.
Eboo
una hasira kama Nyumba kubwa ya mheshimiwaEndelea kujitekenya mpaka nyege zikuishe....
Hakuna umuhimu. Kama mhehe vile, haendi mahakamani. Anajinyonga tu. Nyie mtazika.Aende mahakamani
ANGALIZOTokea jana January na rafiki yake Ruge wapo chimbo wanapanga jinsi ya kupangua Mawe ambayo Safari hii yatakuwa magumu kupanguliwa
wewe kula kivulini lakini muda mfupi ujao utakula juani.. Kutumika katika aina yako ni kujidharau mwenyewe. Unajisikiaje kuandika uongo ambao haukufaidishi na Chochote?
Lete ya ukweliTaarifa yako haina ukweli.
mtaleta mada na kuzpangua wenyewe ,,,ila mnajitaidi kucheza na akili za watu.ANGALIZO
tujiandae kuwa disappointed maana kwa jinsi mambo yalivyo sioni namna ya huyo mzungu kufanya huo mkutano. watu wapo chimbo saa hizi wanafanya kila njia kuhakikisha hilo jambo halitokei na hakika halitotokea na hata likitokea basi sio kama ambavyo watu wanatarajia. Le Makambazzzz ana mengi sana ambayo endapo atawekwa pembeni basi anaweza kuyaweka hadharani na asiwe na chochote cha kupoteza. This is Tanzania, the rotten country