njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
Lumumba mpowapi mje kujibu hoja hii nzito.
hamna hoja hapa, mtoa mada jana alituletea habari ya uongo UVCCM wamekanusha kuna haja ya kumuamini tena mtu huyu...?! labda mods wafuatilie na kuhakikisha kama kweli kutakuwa na huo mkutano otherwise source ni yeye mwenyewe ambaye jana tu alitudanganya ,,, ngumu kumuamini huyu ...
huyu J.makamba kazidi Amuombe msamaha kipenzi chetu Dr. JK kwanza ndio tujitoe kimasomaso kumtetea kama kweli anaonewa ...